TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Nilo
Nilivyoandk hvyo jua na experienceIngia ufilisike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilivyoandk hvyo jua na experienceIngia ufilisike
Mtu mwenyewe anogewe, aone haja ya kumsaidia, sio kumfanya yeye ndio baba mzazi wa watoto wako wa kuwatafuta kwa starehe zako bila plan za maisha!
Kwa mtazamo wako ni kwamba wanatanguliza tamaa mbeleHapana, hao single mothers ndio hawana maisha halisi!
Kwanza, wengi wanakuwa single mothers by choice! Mtoto wa miaka 24, ana watoto wawili, kila mmoja na baba'ake!
Vibinti vikiona Paula kazaa, vinasema roli modo, na vyenyewe vinategesha huko, vinakataliwa, sasa hivi ndo useme ni vi-victim?
Kabla ya kukutana na mwanaume mwingine, penginge aliye serious, alikuwa anawaleaje?
- Wangekuwa wanaendelea hivyo hivyo bila kumbebisha mtu mzigo usiomhusu
- Mtu mwenyewe anogewe, aone haja ya kumsaidia, sio kumfanya yeye ndio baba mzazi wa watoto wako wa kuwatafuta kwa starehe zako bila plan za maisha!
Hakuna mwanaume anayepindua kwa mwanamke mjanja, wote wangelea hao watoto bila lawama!
- Ni sawa na jinsi wanawake walivyowagutua wanaume kwenye KUOMBA OMBA hela hovyo, sasa imekuwa NIPE NIKUPE. La, classicsex workers soko limeongezeka, ujinga wa vitoto vya 2000 ndo umekuwa mtaji wa wanaume wengi kuwageuza mashine ya kufyatulia matofali.
Pole sana mkuu ila sidhani kama ni sahihi kumfananisha mama na hawa mabinti wa kisasa.wengi tumelelewa na mama tu usikute hata humu wanao waponda hao single maza hawamjui baba..
Wengine baba yupo Lkn hawajali kwasabab anafamilia nyingine nje mama ndo anapambana kukupa hela ya ada kula mavazi
Kuna wewe uliye lelewa na baba na mama umepata malezi bora kwa wazazi mshukuru Mungu
Hawa mnaowaita single maza wanahangaika wanapambana na Mwenyezi Mungu awafungulie njia mfanikiwe.
. binafsi nilizaliwa na single maza na kwa hizo kejeri zenu na dharau naamini bimkubwa alipitia mengi magumu ila saiv Nipo kijana wake one day nitakuja kuwa kama diamond platinums na mimi nimfute machozi mama niwe kama hakimi nimfanye mwenye furaha one day just one day in shah rukh khan voice
Hongera sana Mkuu kwa mawazo Chanya na pia kwa ushauri mzuri.wengi tumelelewa na mama tu usikute hata humu wanao waponda hao single maza hawamjui baba..
Wengine baba yupo Lkn hawajali kwasabab anafamilia nyingine nje mama ndo anapambana kukupa hela ya ada kula mavazi
Kuna wewe uliye lelewa na baba na mama umepata malezi bora kwa wazazi mshukuru Mungu
Hawa mnaowaita single maza wanahangaika wanapambana na Mwenyezi Mungu awafungulie njia mfanikiwe.
. binafsi nilizaliwa na single maza na kwa hizo kejeri zenu na dharau naamini bimkubwa alipitia mengi magumu ila saiv Nipo kijana wake one day nitakuja kuwa kama diamond platinums na mimi nimfute machozi mama niwe kama hakimi nimfanye mwenye furaha one day just one day in shah rukh khan voice
Sio wote wako hivyo, halafu wewe na huyo mwenzio mlichukuana na bila kuongea mstakabali wa maisha mtakavyo yaendesha... Anyways, ukipenda boga lazima upende na ua lake 😅😅😅.Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe yena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
DhaambiiiYaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe yena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Kapenda adi haoni futureNinaandika......
Hapa dasalamu nilipo, Kuna dogo ambaye ni mdogo wangu .,.,.,.
Juzi kanifata broh, vipi akaniambia sasa sunajua nilishawah kukushirikisha mahusiano yangu ...
Nikamjibu ndiyo.... Nikamuuliza Kuna tatizo akasema hapana Ila nadhani nimepata ujauzito hivyo mwaka huu nitaolewa!
Nikamuuliza Tena, toka mwanzo nilikuambia usibebe mimba ya mtu ambaye hajakuoa ama hamjamaliza process za kuelekea kukuoa
Akanijibu... Broh mimi natamani tuu nipate mtoto afu jamaa ananitunza plus maneno kibao..... Namuamini hatoniacha..., mara Hana wazazi km Mimi nilivyo...... so hawezi nifanyia hivyo
nikamjibu...... Binadamu tuna tabia ya kubadilika muda wowote na saa yoyote! Uwe tyr kwa mabadiliko yoyote utakayopata!
Akaniambia mwenyw hapo nimekuelewa lakini sasa sijui hii mimba exactly ni ya nani! Maake ndani ya siku tano za mwezi x nilikutana na jamaa mwenye dream ya kumuoa huku akikutana na mwingine ambaye anamchukulia kama homeboy ko ananiambia haelewi
Nikamwambia kila la khery!
Naona dogo akijichanganya usingle mom unamhusu wallah Mungu amsaidie kama sio dogo..... Keshaula wa chuya!
Afu Wairaq dah 😂 😂 nimekaa nao six months aseeh ni wazurii lakini ni shigidiiii
Vijana na nyie tafuteni hela. Hiyo ndio hela ya kuja kukalamika hapa hiyo?. Endelezeni kujiharibu tu kwa punyeto,lakini utelezi wa bure huupati kokote. Hata hao mnaosema wenye uwezo ni 2% tu vinginevyo labda mnahamashishana kijanja kulelewa na mishangazi tu likuamulishe.Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe yena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Hujawahi kuingia kwenye mahusiano nao wewe jaribu kuruka hata na mmoja utajionea, rule #1 ukitaka umu-win singomoza jifanye unampenda mwanae vizawadi vya hapa na pale kazi imeisha sasa baada ya hapo subiria kupokea ulichokua unakitafutaMkuu hawa single maza ingawa wengi ni kwa ujinga wao. Lakini wengine ni victims wa vitendo vya kikatiri walivyofanyiwa na wa naume.
So tusifanye collective judgement.
Machozi ya huyo mwanamke na mtoto wanavyo teseka na kupewa kejeli dharau ni laana.. sometimes hatufanikiwi kwasabab tuna waliza wasio na hatia.Hongera sana Mkuu kwa mawazo Chanya na pia kwa ushauri mzuri.
Wanaume wengi wamekata tamaa, na kwa ujinga wao wanahendekeza ngono saaa wakishapigwa wanaanza kutukana kila mwanamke na hasira zao zinaishia kwa single maza.
Oya ogopa huo mtego huo ni mtego usinase kirahisi hivyoSasa Ona kama huyo binti anakufanyia kila kitu Safi kabisa. Single mother wanajielewa sana