Kwa nilichokishuhudia hapa Lodge Ubungo wanaume Tafuteni sana hela

Wewe unaetu



Wewe unaetumia hiyo pesa kuvuta mabinti ndio unaitumia vzuri? Kuna kaswede, U.T.I sugu Kuna HIV, Kuna mikosi na takataka kibao
Sasa ukiwa nanhela unapataje uti hi na mikosi tena wakati wee unakojolea mbususu nzuri nzuri.
Ukiwa na hela sii unaenda zako kugegeda huko marekani watoto hawana mikosi wala hiv. Acha nanhela wewe....inakupa afya bora kabisa. Matatizo mengine ni binadamu kujitakia tuu kama una hela.
 
Pole sana kijana wangu
 
Pesa sabuni ya roho
 
Hizi kauli za Kila ukiona kitu kinzur cjui tafuta pesa, zinafanya vijana wengi wanatatuliwa Malinda Kwa tamaa.
Ofcoz na pesa haiwezi kukupa Kila kitu na vile vile pesa inahitaji disciplin ili iendelee kukuzunguka. Ss ww unadai unatafuta pesa ili uwale wake za watu, ufumue mitaro ya wanawake ufanye Kila aina ya ufuska.. haya tunarudi kwenye kauli yao ya tafuta pesa
 
Nimepitia hapa Ubungo nikasema nitafute lodge nipumzike mwenyewe ... Mmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…