Kwa nilichokisikia kwa wenye Yanga SC yao na kinachokuja, nawaomba Haji Manara na Injinia Hersi Said waachane nayo upesi

Ud Songo aliifunga goli ngapi Simba?
 
Ndani ya miaka 4 simba iliteleza mara moja kwa ud songo wakajirekebisha ,haya tuambie ndani ya miaka 4 Yanga wamefanya nini
Mkuu mbona unakurupuka! Umeelewa nilichomuuliza mjumbe hapo juu?
 
Simba alifungwa mechi ipi na ud songo
 
wewe ni kati ya majuha wa leo maana huna unachokiandika cha maana, sababu ya wewe kumtuhumu hersi ni ipi? na kama hersi angekua simba angeibomoa kiasi hicho kuanzia senzo, manara etc

baki na simba yako na wananchi tuachie yanga yetu, ikiwa ni mbovu au nzuri haikuhusu cz ni yetu wenyewe.
 
Acha inyeshe kubwa zaidi ili tujue panapovuja
 
Kama manara senior, migongani yanga kwetu raha...
 
Ko hapo simba amefungwa sio
Simba hapo aijafungwa mkuu,Ud Songo na Simba wote wanagoli moja moja,Simba walitolewa kwa kanuni ya aggregate,kanuni ambayo FiFA wanataka waiondoe kwasababu inanyika haki timu moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…