Kwa nilichokisikia kwa wenye Yanga SC yao na kinachokuja, nawaomba Haji Manara na Injinia Hersi Said waachane nayo upesi

Achana na yanga wewe kamfukuzeni tapeli wenu mo kwanza kabla amjarukia yasiyowahusu, nyie mlipotandikwa na ud songo hatua ya awali mbona mliufyata na sababu kibao, Makoro fc mnaferi sana na propaganda uchwala ambazo haziwezi kufua dafu kwa sasa, uyo injinia na manara mnaowaongelea kila siku apa jukwaani inaonekana ni threat sana kwenu haiwezekani pilipili aitafune mwingine kuwashwa awashwe mwingine ni ajabuu!
Ud Songo aliifunga goli ngapi Simba?
 
Ndani ya miaka 4 simba iliteleza mara moja kwa ud songo wakajirekebisha ,haya tuambie ndani ya miaka 4 Yanga wamefanya nini
Mkuu mbona unakurupuka! Umeelewa nilichomuuliza mjumbe hapo juu?
 
Achana na yanga wewe kamfukuzeni tapeli wenu mo kwanza kabla amjarukia yasiyowahusu, nyie mlipotandikwa na ud songo hatua ya awali mbona mliufyata na sababu kibao, Makoro fc mnaferi sana na propaganda uchwala ambazo haziwezi kufua dafu kwa sasa, uyo injinia na manara mnaowaongelea kila siku apa jukwaani inaonekana ni threat sana kwenu haiwezekani pilipili aitafune mwingine kuwashwa awashwe mwingine ni ajabuu!
Simba alifungwa mechi ipi na ud songo
 
wewe ni kati ya majuha wa leo maana huna unachokiandika cha maana, sababu ya wewe kumtuhumu hersi ni ipi? na kama hersi angekua simba angeibomoa kiasi hicho kuanzia senzo, manara etc

baki na simba yako na wananchi tuachie yanga yetu, ikiwa ni mbovu au nzuri haikuhusu cz ni yetu wenyewe.
 
Kati ya Kesho Jumatatu mpaka Jumatano au Alhamisi kuna Zengwe la Awali linaenda Kuibuka Klabuni Yanga SC ambalo litawahusu hasa Watu Wawili Msemaji mpya Haji Manara na Injinia Hersi Said.

Hata hivyo Zengwe hilo.litazimwa kwa muda ila litaibuka kwa Nguvu mpya Weekend ijayo pale ambapo Yanga SC inaenda Kutolewa na Kuyaaga rasmi Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika huko nchini Nigeria.

Na Zengwe la maana ambalo Mightier nimehakikishiwa kuwa litaondoka na Vichwa Viwili ndani ya Yanga SC litatokea baada ya Mechi ya Ngao ya Hisani pale ambapo iwe isiwe Yanga SC inaenda Kufungwa tena Safari hii Kirahisi kabisa na Simba SC.

Haji Manara kaa ukijua kuwa 85% ya wana Yanga SC hawakutaki japo GSM wanakubeba na Kukulinda. Wanadai una Kimavi ( Nuksi ) na pia hawakuamini hata kidogo huku wakihoji ni lini umerudisha Kadi ya Simba SC na kwamba kama Wewe ni Yanga SC kweli mbona hujawaonyesha Kadi yako au basi hata tu Kupokea Kadi yako mpya.

Injinia Hersi Said baada ya Kucheza na Akili za wana Yanga SC kwa muda mrefu huku ukijinufaisha Kibiashara kwa Mgongo wa Udhaifu wao wa Kufikiri sasa nao Wameamka na wanakulalamikia kuwa Wewe ni Muongo, unakula 10% kwa Wachezaji wa Kigeni unaowaleta nchini na kwamba hili Suala la akina Djuma, Aucho na Mayele kukosa ITC mpaka sasa limesababishwa nawe huku ukihusishwa kuwa ni mwana Simba SC na kwamba unatumika nao.

Wote Haji Manara na Injinia Hersi Said mmeandaliwa Kipigo, kufedheheshwa na Kufukuzwa Yanga SC ndani ya Wiki Mbili mpaka Tatu kutoka sasa na ndiyo maana nimewaasa mapema tu kuwa achaneni na Yanga SC, imetosha na watakuja wengine kuendelea mlipoishia.

Msije kusema tu kuwa sikuwashtueni.
Acha inyeshe kubwa zaidi ili tujue panapovuja
 
Kama manara senior, migongani yanga kwetu raha...
 
Ko hapo simba amefungwa sio
Simba hapo aijafungwa mkuu,Ud Songo na Simba wote wanagoli moja moja,Simba walitolewa kwa kanuni ya aggregate,kanuni ambayo FiFA wanataka waiondoe kwasababu inanyika haki timu moja.
 
Back
Top Bottom