Kwa nilichokisikia kwa wenye Yanga SC yao na kinachokuja, nawaomba Haji Manara na Injinia Hersi Said waachane nayo upesi

Yanga miaka ya karibuni haijawahi kuwa timu nzuri nahisi kocha hafai plus usajiri mbovu wa wakata viuno basi ni shida tuu.Timu mbovu mbovu yaani kushabikia yanga ni kujipa pressure na maradhi yasio ya kuambukiza bure.Nimenunua jezi zao nataka nikaigawe kwa wasiojielewa wenzao.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Yanga kama wanachama wenu wanawaita.
Utopolo
Utaputapu
Manyani
Hamjiulizi kwanini wanawaita hivyo.
Mkijitambua hapo mtafika mbali sana.
Na sio kusheherekea Usajili pekee.
 
Yanga mchawi wao ni wao wenyewe timing ya pre season hawako serious sana lakini pia waliatj mechi hata tatu hv. Sasa hii wiki wapige tizi hata na mechi moja tena
 
Hata simba wenyewe wananitia shaka, timu walizokutana nazo pre season sio imara sana! wanahitaji tough games!
 
Ud Songo walimtandika ngapi Simba!?????
 
SISI YANGA TUNASEMA HATUWATAKI MAMLUKI NYIE, ONDOKENI MTUACHIE CLUB YETU.

UNEINA WAPI MTU ANABADILIKA SIKU MOJA TUU KUTOKA SIMBA DAMU KUWA YANGA MWENYE MAPENZI MAKUBWA, HUU NI UNAFIKI.

ONDOKEEEENI
 
Huu uzi nimeuhifadhi kwenye kumbukumbu zangu. Kuna kila dalili ya kutokea ulichoandika.
 
Huna facts ni majungu matupu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi nimeuhifadhi kwenye kumbukumbu zangu. Kuna kila dalili ya kutokea ulichoandika.
Mightier nikija na Taarifa hapa jua 99.9999% ni kweli na nina uhakika nayo pia. Itunze hii Thread tafadhali ili uje unipigie vizuri Salute Ndugu.
 
SISI YANGA TUNASEMA HATUWATAKI MAMLUKI NYIE, ONDOKENI MTUACHIE CLUB YETU.

UNEINA WAPI MTU ANABADILIKA SIKU MOJA TUU KUTOKA SIMBA DAMU KUWA YANGA MWENYE MAPENZI MAKUBWA, HUU NI UNAFIKI.

ONDOKEEEENI
Yawezekana mwana Yanga SC mwenye Akili Timamu hapa JamiiForums ukawa ni Wewe peke yako ila waliobaki ni Vichwa Maji tupu. Nimekukubali Ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…