Kwa nilivyomuelewa Polepole hata kama wananchi wakisusia kupiga kura, CCM itashinda tu

Kwa nilivyomuelewa Polepole hata kama wananchi wakisusia kupiga kura, CCM itashinda tu

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Kwa mfumo wao wa NIDA asee unaweza usifike kituo cha kupiga kura lkn mfumo ukatick umepiga kura tena umechagua CCM kabisa

Yaani kura inajipiga automatically wewe ukiwa om afu utasikia 30 millon wamemchagua Samia then hiyo 7 million ni CHAUMMA na matawi mengine
 
Naam, hii ndiyo CCM una swali jingine tafadhali? Kama huna kaendelee na majukumu tuache sisi tuendelee kufaidi rasilimali zenu paka shume nyie.
 
Huo ndio ukweli wenyewe. Watu wanahamasishwa kwenda vituoni kwaajili ya kuhalalisha ushetani wa CCM.
 
Back
Top Bottom