Kwa nilivyowaona Waangola na wanavyotisha naomba kocha Mgunda acheze mfumo wa kikatili wa 4-5-1 tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Huu ni mfumo wa 99.9% kujilinda (Defensive) hasa ukiwa na historia kuwa ikicheza kwao huwa inakuwa na kasi na inafunguka sana tu.

Wanasimba S.C. tusijidanganye, hawa waangola ni watamu (wazuri) hakuna mfano, hasa wakiwa kwao nchini Angola na wanapiga pasi nyingi nyingi na za haraka haraka. Kitu ambacho kama wachezaji wa Simba S.C. hawatobadilika kwa mpira wao wa nyoro nyoro (ubishoo), zile hamsa hamsa (tano tano) za Congo DR kwa AS Vita na Al Ahly za kipindi kile naziona wikiendi hii siku ya Jumapili.

Twendeni na huu mfumo wa 'Kikatili' wa 4-5-1 (mtindo wa kupaki basi), ambapo tunajaza mabeki wanne nyuma, tunajaza viungo tupu watano katikati na kule mbele tunawategeshea mshambuliaji mmoja tu Phiri, awahenyeshe na wahangaike naye.

ONYO: Simba S.C. na kocha Mgunda chonde chonde tusiende kufunguka mazima Angola tutakufa (tutapigwa) nyingi, ila twende tukajihami sana (too defensive) huku tukishambulia kwa mkwara (kushtukiza), ili kazi tuje kuimalizia kimkakati Dar es Salaam, Tanzania kwa Mkapa na tufuzu rasmi katika Makundi ya CAFCL.

Ukiona hadi GENTAMYCINE natoa ushauri huu wa kiufundi, jua nimeshawatazama 'Waangola' na kwa jicho langu kali la kimpira na kiufundi. Nimeamua kuwapa ukweli ili muanze kuchukua tahadhari mapema kabla ya dhahama (hatari).

Poti wangu (kutoka mkoani Mara), Crescentius Magori (mshauri mkuu wa mwekezaji, CEO na benchi la ufundi Simba S.C.) najua kuwa huwa unanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums, hivyo nakuomba lichukueni hili na mlifanyie kazi upesi kwani hawa 'Waangola' siyo wepesi kama ambavyo tunajidanganya na kujipa moyo mitaani.

Ninaitakia kila la kheri tu Simba S.C.!
 
Huu ni Mfumo wa 99.9% Kujilinda ( Defensive ) hasa ukiwa na Historia kuwa ikicheza Kwao huwa inakuwa na Kasi na inafunguka sana tu.

Wana Simba SC tusijidanganye hawa Waangola ni Watamu ( Wazuri ) hakuna mfano hasa wakiwa Kwao nchini Angola na wanapiga Pasi nyingi nyingi na za haraka haraka Kitu ambacho kama Wachezaji wa Simba SC hawatobadilika kwa Mpira wao wa Nyoro Nyoro ( Ubishoo ) zile Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) za Congo DR kwa AS Vita na Al Ahly za Kipindi kile naziona Weekend hii Siku ya Jumapili.

Twendeni na huu Mfumo wa 'Kikatili' wa 4-5-1 ( Kupaki Bus Style ) ambapo tunajaza Mabeki Wanne Nyuma, tunajaza Viungo tupu Watano katikati na kule mbele tunawategeshea Mshambuliaji Mmoja tu Phiri awahenyeshe na wahangaike nae.

ONYO Simba SC na Kocha Mgunda chonde chonde tusiende Kufunguka mazima Angola tutakufa ( tutapigwa ) nyingi ila twende tukawe 'too defensive' huku tukishambulia kwa Mkwara ( Kushtukiza ) ili Kazi tuje Kuimalizia Kimkakati Dar es Salaam Tanzania kwa Mkapa na tufuzu rasmi katika Makundi ya CAFCL.

Ukiona hadi GENTAMYCINE natoa Ushauri huu wa Kiufundi jua nimeshawatizama 'Waangola' na kwa Jicho langu Kali la Kimpira na Kiufundi nimeamua kuwapeni Ukweli ili muanze kuchukua Tahadhari mapema kabla ya Dhahama ( Hatari )

Poti wangu ( kutoka Mkoani Mara ) Crescentius Magori ( Mshauri Mkuu wa Mwekezaji, CEO na Benchi la Ufundi Simba SC ) najua kuwa huwa Unanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nakuomba lichukueni hili na mlifanyie Kazi upesi kwani hawa 'Waangola' siyo Wepesi kama ambavyo tunajidanganya na kujipa Moyo mitaani.

Ninaitakia Kila la Kheri tu Simba SC!!!
 
Leseni yako ya ukocha ni ya daraja gani?
 
Naona umerudi nyumbani...kila la kheri usiache kuishauri na timu yako mpya ya yanga
 
Waangola ni wazuri sana,,ila hakuna atakae pokea ushauri wako...coz Simba usanii mwng sana,,timu anapanga bocco na matola.
Timu inatakiwa iwe hivi: manila, Israel,tshabalala,inonga,,Kennedy,,mkude,,mzamiru,,kanoute,,phiri,,, okra,,kibu
 
Lakini mtani wewe ni mtu muungwana sana, unakasirika na hasira zako zinapoa fasta🤣🤣🤣
Mimi nilishaanza kukutafutia jezi ya yanga fasta umerudi simba, inaonyesha na Matola umemsamehe safi sana🤣🤣🤣
Dogo siku hizi umeanza kutumia Mpepe / Bange?
 
Back
Top Bottom