Mkuu me kitu ambacho nmefeli kuelewa ktk klabu yetu ya Simba ni majukumu ya matola.
Timu ikfny vbaya watakaotupiwa virago ni kocha mkuu,,kocha wa viungo,,kocha wa makipa,, sometimes meneja wa timu.
It means hao ndio wanaowajbka na matokeo ya timu.
for six consecutive years nime-note benchi la ufundi lktimuliwa mshkaj matola anabakishwa.
Directly utajua matola hawajbk kwny matokeo ya timu.
Viongoz wa Simba tujuzeni majukumu ya matola