Ha ha ha ha ha mpepeeeDogo siku hizi umeanza kutumia Mpepe / Bange?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha mpepeeeDogo siku hizi umeanza kutumia Mpepe / Bange?
Yule ndo mwenye kilinge pale Simba, jopo la waganga hawamtambui Mo wala Barba, wanamtambua matola.Mkuu me kitu ambacho nmefeli kuelewa ktk klabu yetu ya Simba ni majukumu ya matola.
Timu ikfny vbaya watakaotupiwa virago ni kocha mkuu,,kocha wa viungo,,kocha wa makipa,, sometimes meneja wa timu.
It means hao ndio wanaowajbka na matokeo ya timu.
for six consecutive years nime-note benchi la ufundi lktimuliwa mshkaj matola anabakishwa.
Directly utajua matola hawajbk kwny matokeo ya timu.
Viongoz wa Simba tujuzeni majukumu ya matola
Ni katibuSio wivu ndugu,,, nahtaji kujua majukumu yake