Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

Umeona sasa ulivo mtu wa ajabu mpaka hapa. Humu tunatumia id fake unajuaje kama mimi ni broke na sifanyi kazi mpaka umeconclude kabisa. Halafu wewe unasema eti dini ya wazungu unajua hata historia za dunia kweli? Biblia kabla ya kutafsriwa kiingereza ilikuwa katika kiarmaic ambacho wanaongea wayahudi waliokuwa chini ya koloni la rumi sasa unasemaje dini ni ya wazungu unaowataja wewe. Unatak kujua kwann africa masikini kuliko europe sababu wewe muafrica umuabudu mzungu akuburuze shimoni mwa moto huyo ni baba yao shetani ndo anapanga hivo. Bila uwizi uliofanyika africa miaka hiyo wazungu ela wangetoa wapi hizo nyingi? Halafu kwani africa nzima inasali mbona wale watu wa vijijini waliokuwa wanaabudu nyoka pale geita wanaonekana hali zao ziko duni kwanini useme dini ndo imeleta umasikini.
 
hivi kati ya mimi na wewe hapo nani ambae hafikirii vizuri. Mimi nikiwa na muuaji nimemuajiri kutimiza mauaji fulani je mimi sijahusika kwenye hayo mauaji? Na nyinyi wa mjini ndo mliotuletea hata laana ya ushoga hapa bongo sababu mnashobokea mali za watu hata kama zinawavua nguo na cha ajabu mmeishia kuwa watu wa hovyo. Halafu wewe katika process nzima ya miundombinu unayosema unajua imani za watu kwa asilimia ngapi? Halafu hyo miji unayoitaja ndo inaongoza kwa parade za LGBTQI duniani kwanini usiige na hilo ili uwe tajiri kwanini umelishika la kwamba hawasali tu. Eti niwashukuru wazungu hivi wewe si ndo mtumwa ndo maan nchi haiendelei yani mtu anakuibia hadi leo anakuletea kijibara bara amacho hata hakidumu halafu eti umshukuru.
 
Sijasema wewe ni broke, nimesema kama mtu ni broke dawa ni kufanya kazi, we mzee mbona huelewi, nimesema kuwa broke sio sifa mkuu, anyways watu weupe wote me nawaitaga wazungu, alafu wayahudi wenyewe sio wakristo mkuu i have a Jewish friend mzee nimekuwa nae he is my childhood friend. Najua mambo mengi ya Jewish people
 
Nchi haiendelei kwasababu watu hawataki kufanya kazi na sio bla bla unazoleta wewe hapa, acha uwongo Mungu waongo kama wewe anawachoma na moto mkali, usidanganye watu...
 
Id yako yenyewe umejipa jina la watu wa West ahahaha upo vugu vugu mzee huwez kwenda mbinguni na hiyo attitude yako... YOU ARE GOING TO HELL... janatul Firdaus utaisikia tu wewe
 
Kwahyo Mussa hakuwa myahudi? Yesu hajazaliwa kwa wayahudi? Akina Petro hawakuwa wayahudi? Mbona unaongea vitu general sana mzee. Unasema dawa kufanya kazi hata bible imeandika asiefanya kazi na asile sasa wewe kwanini unaassume mtu akisali hatakiwi kufanya kazi. Wapi wameandika nioneshe kifungu ambacho kinasema wakristo wasifanye kazi wasali tu?
 
Nchi haiendelei kwasababu watu hawataki kufanya kazi na sio bla bla unazoleta wewe hapa, acha uwongo Mungu waongo kama wewe anawachoma na moto mkali, usidanganye watu...
Hao unaowaabudu maabara zao wanafund billions of money. Nioneshe wapi serikali kweny utafiti iliweka mpunga wa kiasi ambacho serikali ya marekani iliweka pale NASA kushusha chombo mars. Mzee africa kama dini ililetwa ilitakiwa itukute matajiri basi kwanza maan si hazikuepo. Halafu unasema eti wazungu walileta dini kwa africa hujui hata historia naona waliokuwa wanauza wenzao walikuepo machifu walioletewa golori chumvi na sukari na vioo. Halafu waafrica hawakuletewa dini maan wazungu walikuwa nd wanaosali kwenye hayo makanisa na hakuna mweusi aliekuw anaingia ila waafrica waliadapt dini ili kupata tumaini jipya sasa unasemaje dini uliletewa ndo ukawa masikini. Nilikuambia elezea hapa dini kitu gani inachoagiza kinaleta umasikini hapa. Je ni sadaka au zaka au muda au imani au ni kitu gani?
 
Nimesema watu wasifanye kazi? Nimekwambia wayahudi tunaowajua sisi sio wakristo, Musa alivyokuwepo ulikuwepo? Yesu aliandika bilblia? Mkuu mbona na sisi tunajua mambo mengi tu ya dini na ni wakristo, na unaweza ukawa mkristo na unadhambi tu kama wewe hapo dhambi hizo zitatoka ukibadilisha hiyo mentality yako, wewe wadanganye tu watu mtaani kwako, kusali sio lazima uende kanisani hata nyumbani unasali tu vizuri, kila kitu ni self explanatory... Watu kama ninyi Mungu atawachoma moto
 
Umesema ukweli wabongo ni makima sana wao ni kuponda tu
 
Yaani unaifananisha TZ na Burundi??
Uko serious kweli?!.
Hii nchi kama sio uongozi mbovu tulipaswa kuwa sawa na Afrika Kusini au hata zaidi yao kiuchumi barani Afrika!.
 
CONCERN YANGU NI HAIKUANDIKWA ALIPITA TAJIRI AKAFANYA JAMBO AU WALIPITA MASIKINI WAKAPITA PEMBENI, SIJAKATAA KWAMBA TAJIRI ALIFANYA JAMBO JEMA ILA NI KWAMBA HAYO MANENO ALIPITA TAJIRI UMEJIONGEZA LABDA KWA KUWA ALILIPA HOTELI NA MATIBABU NDIO MAANA UKAHISI NI TAJIRI
 
Yani Mungu aagize watu wakusanyike kwamba walio wawili watatu niko kati kati yao anichome moto kisa nasema watu wakusanyike kumuabudu duu basi hapo acha niende tu motoni. Wewe umekariri sio kwasababu kuna waafrica ni wachaga na wamasai ukasema eti waafrica sio wamasai ni wachaga hivi unakilewa unachokizungumza kweli? Wewe umemtaja myahudi rafiki yako kuwa sio mkristo sawa sijakataa na mimi nimekutajia kuwa mbona mtume paulo ni myahudi na ni mkristo yani wewe kinachokunyanganya sijui ni lugha au rangi hata sielewi kitu gani.
 
[emoji3][emoji3]
 
Maana kutoka Mkuranga hadi Kibaha, Kerege, Pugu pote huko pameendelea
 

Ulisoma mstari upi wa biblia ? please tuwekee ushahidi wa aya
 

Kumbe TZ ni tajiri sana


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…