The druid
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 507
- 627
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ukiona nchi au eneo flani la nchi lina wafuasi wengi wa dini jua vilevile kuna umasikini mwingi na hawana kazi ya kufanya zaidi ya kukesha makanisani kujiliwaza na neno la Mungu.Na ukitaka kuwa maskini kupindukia kuwa muimba kwaya wa kanisa.