Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

Ukiona nchi au eneo flani la nchi lina wafuasi wengi wa dini jua vilevile kuna umasikini mwingi na hawana kazi ya kufanya zaidi ya kukesha makanisani kujiliwaza na neno la Mungu.Na ukitaka kuwa maskini kupindukia kuwa muimba kwaya wa kanisa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
You must be old
 
Subiri umeme wa kutoka bwawa la Mwl.Nyerere,wewe mambo yatanyooka.
 
Subiri umeme wa kutoka bwawa la Mwl.Nyerere,wewe mambo yatanyooka.
 
Being Old is a blessing,If iam old that means i've traversed a lot .How many folks who are younger than me are no longer there.May be you will never get old .You will die in a minute and fail to get older than you are now. Iam sorry for you.
I am old too. Why did you get offended? Being old is a blessing. I wouldnt trade it for nothing. Dont take things personal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo mana nikasema nisaidie basi nijue naanzia wapi, wengine hatujasoma. sasa mkuu ulivyojibu kama vile nimeenda shule, ww ungenisaidia tu nenda labda google andika hivi au sehemu fulani ningeenda kufanya hivyo.
Unaweza kwenda Google kama ukitaka ila inabidi kwenda shule kusoma kiundani zaidi haswa chuo Kikuu, huko ndiko utaweza kusoma na kuelewa zaidi kwanini hizi dini ziliundwa na watu na kumsingizia Mungu. Hawa manabii wa kishikaji kuanzia kina T.B. Joshua na hawa kina Mwamposa wote wanajuwa ukweli na ndiyo maana wanawachezee watu akili tu.
 
Msamehe bure huyo kwani hajatembea. Dar majiji mengi ya Afrika yakasome namba.
Yani Dar hii ambayo 70% ya makazi yake haijapimwa.

Dar hii yenye manzese, Mbagala, Buguruni , Kigogo ndio ishinde majiji mengi Africa. Basi kama Dar yenye huu upuuzi wote inayapiku majiji mengine basi Africa ni hovyo yote.


Hata Darasa la wajinga kina kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…