Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

Mkuu yaani alokuhadithia anazambi sana. Yaani Lusaka ufananishe na Dar? Nimetoka huko juzi ninawiki tu... Lusaka bado sana kwa Dar. Nilipenda club yao matata sana pale eastern park mall
Mbona unaisagia kunguni alaf unaisafisha Ulipenda Club means wanaclub classic nasema uongo?
 
Nakubaliana na Wewe....
Nairobi ni kuzuri mno...Ile mno..

Barabara,Majengo yao wako vizuri sana..
Mkuu uzuri wa Nairobi ni wa kawaida tu sema ile express way ndo imekumix. Japo kweli ipo mbele ya Dar kwa kiasi chake
 
Sawa visitor [emoji137][emoji137]upite pale makamba pia!
 
Daah hatar sana mkuu
, Vipi nawezaje kuja huko je ajira zipoje, vp mashirika yapo ya uhakika.
 
Ushawahi kufika kwa Ruto 254? Utaona dar kijiji ukilinganisha na Kanairo
 
Ushawahi kufika kwa Ruto 254? Utaona dar kijiji ukilinganisha na Kanairo
Nairobi ni kama nyumbani kwa upande wangu. Ni kweli lile jiji liko level zingine. Imeipita Dar hadi dhambi. Lakini point yangu ni kuwa Dar kwa sasa nayo iko moto sana inakimbia. Dar imezidiwa na Nairobi tu kwa EAC na hata kwa SADC imezidiwa na miji michache ya South Afrika.
 
Pale kwenye kiwanda Chao Cha Nala Cha rais ndayishimie akampa Adrian ntigachika kusimamia walio ajiriwa pale karibu wote Ni warundi Hadi getiini wamewajaza warundi wakijifanya waha
 
Sahih kbsaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…