ChaiBurundi kuwa koloni la Ufaransa?
Historia ya primary au secondary hiyo?
DRC kwa kina Mayelecongo Brazzaville
Aliemzika Yesu alikua ni Tajiri wa Kutupwa masikini walishindwa kumzika Yesu sababu ya Gharama za Mazishi hazikua ndogo na hata kaburi lake lilikua la Nyota 5 sio makaburi ya kapuku km lile alilomfufua RazaroWatu masikini wanaenda makanisani kutafuta faraja mmekazana kusema dini ndo imeleta umasikini sasa waliendaje kanisani wakiwa masikini bado. Hao machokoraa nao wanashinda makanisani emu acheni chuki binafsi na dini. We unaechukia dini unanua bando la mb 300 sasa nd umekomboka na nini hapo wakati kuna watu wanatoa sadaka milion 100 kanisani na wana marange rover.
Population pressureSio kama Dar ambapo Manzese, Kigogo na mitaa mingine ya uswazi imejengwa kiholela.
Hakuna labda Waha wa Kigoma,Vipi madem?
Haya fafanua Sasa hapa fursa ni zipi ?Wabongo bana, kila mkikaribishwa kwenye nchi za watu mnakusanya mabaya tu.
Na ndio maana Waafrika tuna kasoro kubwa sana, badala utumie nguvu zote hizi kuainisha au kuorodhesha fursa ambazo wenzako wanaweza wakaja Burundi kuzichangamkia, wewe muda wote umetafuta mabaya tu.
Dini ni uwendawazimu, ukitaka kutoboa jitenge kidogo na masuala ya udinikusema dini
Nambie wewe unataka kusema ina maanisha nini. Na unambie kwanini baada ya kufufuka watu wa kwanza kukutana nao walikuwa hao hao masikini na kwanini watu wa kwanza kujua kafufuka ni hao hao masikiniAliemzika Yesu alikua ni Tajiri wa Kutupwa masikini walishindwa kumzika Yesu sababu ya Gharama za Mazishi hazikua ndogo na hata kaburi lake lilikua la Nyota 5 sio makaburi ya kapuku km lile alilomfufua Razaro...
Warundi na Waha ni wale wale tu....kumbuka Burundi ilikuwaga sehemu ya Kigoma kabla ya wazungu kuimegaTanzania ni Nchi nzuri kushinda Nchi kibao hapa Afrika sio Burundi pekee..
Shida ya hao Jamaa wa Burundi ni kama Waha ubishi hawawezi kusikilizana ndio maana unaona Kila siku ni kupinduana..
Japo komesha ya ubishi ni Wasomali ,Wana akili na wanafanya biashara wakubwa ila ukuaji mwingi.
Thibitisha wewe uliejitenga na dini umetoboa kwanza halafu ndo nifuate ushauri wako. Unatengenezewa mpaka toothpick unakuja kuleta story za dini hapa.Dini ni uwendawazimu, ukitaka kutoboa jitenge kidogo na masuala ya udini
Nimefurahi kupata story ya Rwanda..maana Kagame amesifiwa sana ..Mpaka nikajua Kigali iko kama South Africa..Kumbe burundi haina tofauti yoyote na rwanda.mimi nilippenda kigali mwaka jana nilitarajia kukuta bonge la maendeleo lakini sijaona lolote jipya.kuna watu wengi,tangu rusumo border hadi kigali miji ipo karibu karibu mno nakumbuka tulikoswa hata sehemu ya kupaki gari nikojoe.watu ni wengi mno barabarani wengi wao wakitembea kwa miguu kwa ajili ya kutafuta vibarua hasa vya kulima.watoto wa shule ndo usiseme sasa ni wengi mno na wengi wamevaa yeboyebo hata wale wa sekondari.gari za rwanda ni za kizamani mno inaonekana kuna sheria fulani kandamizi huruhusiwi kumiliki gari mpya,majengo yao ovyo sana mfano fisherboard zao ni bati linachanwa linatumika kama ubao..gari kutembea 40kph ukizidisha tu camera ina wewe maana zimefungwa kila baada ya kilomita kadhaa nchi nzima.daladala zao lazimA uwe na kadi maalum hulipi cash ndio maana watu wanashindw a kupanda magari wengi hutumia bodaboda na hata baiskel na miguu pia.
Yapo mengi sana niliyoyadharau rwanda
Sifa gani sasa,kigali mjini ni kuzuri ila foleni sasa ndo usipime bora hata ilivyokuwa morogoro road kabla ya fly over.,kingine kilichonitisha ni doria za wanajeshi mida ya jioni wakiwa na silaha kali na zile radio call kubwa wamezibeba migongoni utadhani wanaingia vitani.nilishukuru kurudi tz salamaNimefurahi kupata story ya Rwanda..maana Kagame amesifiwa sana ..Mpaka nikajua Kigali iko kama South Africa..