Halafu kwa East Africa boda boda zimeanzia Kampala. Ni kweli Kampala uendeshaji wao ni vurugu tupu, wala hawaogopi askari.
Hiace zinafanya kazi hadi katikati ya Jiji la Kampala.
Bodaboda uganda inaitwa Sekido
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kwa East Africa boda boda zimeanzia Kampala. Ni kweli Kampala uendeshaji wao ni vurugu tupu, wala hawaogopi askari.
Hiace zinafanya kazi hadi katikati ya Jiji la Kampala.
Hakuna mtu anaemlazimisha mtu aishi maisha ya anasa, wapo matajiri wasiojihusisha na udini ukijifanya mdini Sana bila kufanya biashara kwenye dini sana sana unaukaribisha umasikini ndio maana Viongozi wa dini uhimiza watu kutoa Zaka na Sadak, mtu kuishi maisha ya udini ni machaguo yake binafsi sio kwamba anachaguliwa na mtu, ulevi wa Pombe na mengineyo uliyotolea mfano si kweli kwamba mtu huambiwa awe mlevi ili aikane dini Hilo nakupinga kwa nguvu zoteMaatheist na watu wa hulka hiyo ndo watu wanaoongoza kulipoteza taifa hasa vijana. Wanawaambia vijana wasiende makanisani ila wanawanywesha mapombe makali bila chakula na kuwadhalilisha na kuwafundisha uzinzi wa kununua wanawake wa ef 3 na ulafi wa kila aina ila hawawezi wafundisha jinsi ya kupata hizo mali sababu wengi mali zao ni za kishirikina na wamejaa uchoyo wa kiwango cha rami.
mbona watoa mifano ya mbali maalim? Hebu tuambie wew toka umejiweka mbali na dini unamiliki utajiri kiasi gani hadi sasa yaan?Tajiri mvumbuzi & mmiliki wa Tesla nadhani unamjua Elon Musk, umemuona anajiweka sana ki dini dini kwamba yeye ndio mtu wa Mungu sana ?
Kuna vitu hujaelewa.Thibitisha wewe uliejitenga na dini umetoboa kwanza halafu ndo nifuate ushauri wako. Unatengenezewa mpaka toothpick unakuja kuleta story za dini hapa. Halafu mi navojia matheist wengi ni wavuta bangi na walevi wa kutupwa sasa lete data hapa kati ya walevi wavuta bangi na watumia madawa ya kulevya na data za kanisani wapi kuna umasikini mkubwa. Mwafrica hutoboi namba moja huna akili hata hiyo dini ina hasa kufanya kazi unasema eti nd inaleta umasikini. Hutaki kuzungumzia ufisadi elimu duni ulevi uvutaji wa madaw ya kulevya na uzinzi unaleta story za vijiweni kuwa dini inafelisha watu.Makanisani kuna masikini wengi sababu ndo sehemu pekee sauti zao husikila na kuthaminiwa na kuheshimiwa utu wao huonekana huko. Masikini akienda club anaishia kudharirika kuomba omba bia akienda kwenye siasa anaishia kunyang'anywa na alichonacho na hasikilizwi akienda kwenye uzinzi anadharaulika na hao wanawake shuleni anadhaurika ila kanisani anaheshimiwa na anasikilizwa anapata marafiki anaoneshwa upendo halafu anakuja mvuta bangi mmoja anapita dirishani anaenda kuhadithia wenzie fulani ni masikini sababu anashinda kanisani.
Nakubaliana na Wewe....Kigali nimefika, mji msafi ila ni mdogo, huwezi linganisha na dar, ila Nairobi iko juu sana, nilifika nikakubali imejengeka kuliko dar
Kuja Burundi natakiwa kuwa na nini kaka.Vigezo na finance wise angalau kukaa week 1!??Japo mengi ya aliyosema mtoa Uzi yana ukweli 90%, napenda kuongeza mazuri ya Burundi
[emoji117] Warundi ni watu wakarimu sana kwa jamaa, ndugu na marafiki zao.
Ukifika, watakuja kukutembelea wakiambatana na sukari, mkate au pesa taslimu (ya sukari na mkate)..
Swali la kwanza kwa mgeni: "utakunywa fanta au bia..?" [emoji28]
[emoji117] Burundi kuna fursa za wazi kabisa kibiashara. Na hapa mimi niliona uhaba wa gesi ya kupikia. Familia nyingi zinatumia mkaa, chache zinatumia gas
Hivyo km mtu anaweza kuchangamkia fursa hii, bas atatoboa
[emoji117] Biashara ya kubadilisha fedha inalipa sana hapa. Forex zipo nyingi, lakini mahitaji ni mengi zaidi.
Warundi Wana ndugu wengi Canada, USA, Belgium, France, na nchi nying za uarabuni, hivyo usishangae kumuona bibi kizee tu anajua kupanda na kushuka kwa dollar, uero, n.k
[emoji117] Buja ni mlango mpana wa kwenda ng'ambo. Watu wengi wa mikoa jirani (mfn kigoma, kagera, musoma) wanatumia sana mlango wa buja kwenda ughaibuni. Kwa bongo hata kupata tu passport ni jasho
[emoji117] Ukitaka kuona jinsi watu wanafurahi, basi njoo Bujumbura. Pamoja na shida za kisiasa walizonazo lakini hawa viumbe ni watu wa kufurahi muda wote. Wanapenda pombe kuliko kitu kingine chochote km sijakosea. Bia maarufu ni primus na Amstel
[emoji117] Bei ya bidhaa muhimu km sukari, sabuni, mafuta, dawa n.k viko chini sana ukilinganisha na Tz.
Kwa sasa sukari imeadimika sana hapa buja, lakini pamoja na kuadimika huko, bei ya kilo moja ni 2500fbu, petrol ni 2700fbu
Isipokuwa kwa bidhaa zinazotoka nje, hizo bei zake zinategemea stability ya dollar
[emoji117] Hotels za buja zinajaa kila siku. Unaweza tembelea hotel 3-5 ukaambiwa zimejaa, si ajabu hii
Hii inaonesha bado kuna fursa za uwekezaji wa biashara ya nyumba za wageni (hotels) na ukapata faida
[emoji117] Hakuna asiyejua km watusi wanamuonekano mzuri. Hivyo hili libaki hapo[emoji28]
[emoji117] Bujumbura (ville/mjini) hakuna bajaji, bodaboda wala baiskeli (Kinga). Usafiri wa tax ni WA gharama nafuu kuliko Tz. Japo tax za hapa nyingi ni probox na hazina hali nzuri sana ukilinganisha na Tz.
Mjini hauno msongamano wa magari km bongo
[emoji117] Azam ameteka soko la juice na biskuti hapa buja. Hii inakupa picha kuwa fursa za uwekezaji zipo na uhitaji ni mkubwa sana.
Wazawa wanahifia kuwekeza nchini kwao, kwa sababu ya kiusalama, lakini wageni wanalindwa vya kutosha
Mambo ni mengi, lakini Burundi ndio nchi ya kwanza kwa umasikini duniani. Na kwa sababu hii, wenye akili nyingi wanaweza kuitumia kujitajirisha
Daaah mkuu hii sijawahi kusikia mimi kweli hapa ni maarifa naweza pata source ya historia kama hizi mkuu?Warundi na Waha ni wale wale tu....kumbuka Burundi ilikuwaga sehemu ya Kigoma kabla ya wazungu kuimega
Ushaambiwa sket za wanafunzi zinawaumbia shape hatareeVipi madem?
Ahahahahah dah haya mambo bwana.Ukiona nchi au eneo flani la nchi lina wafuasi wengi wa dini jua vilevile kuna umasikini mwingi na hawana kazi ya kufanya zaidi ya kukesha makanisani kujiliwaza na neno la Mungu.Na ukitaka kuwa maskini kupindukia kuwa muimba kwaya wa kanisa.
Ntibazonkiza inabidi nimpe hii anajiona wq kishua kumbe kwao hamna kituKwenye "kusaka tonge" Nimejikuta mara kadhaa nadondokea kwenye nchi jirani ila hii nchi ya BURUNDI inanifanya kila siku nizidi kuthamini na kuipenda TZ..Burundi ni nchi ambayo imepitiwa na Bonde la UFA "Rift valley" sasa sijui ni geographical area ndo inasababisha umaskini huu au ni nini? Lakini mbona Rwanda Nao ni nchi ndogo tena walikua Level moja kiuchumi miaka kadhaa ila Leo Rwanda iko mbali sana.
MIUNDOMBINU:
Barabara ya TZ ni nyembamba ila ya Burundi ni nyembamba Pro max na inamabonde,Mashimo,Kona na miinuko ya kufa mtu.Ajali ni kila siku tena zinaua kuliko za bongo.Mbaya zaidi wanatumia protocol ya barabara(Left na Right) kinyume na hii yetu hali ya kuwa magari mengi ni (Right hand)Kwaio kuovertake mpama utokeze mzimamzima kuchungulia hapo ndo msala unaanzia.kifuatacho ni INNALILLAH..BWANA ALITWAA..RIP
USAFIRI:
Burundi inamikoa zaidi ya 7 ila Airport iko moja tu nchi nzima (BUJUMBURA tu)..Usafiri wao sanasana ni TAX(probox mchomoko) bodaboda na Baiskeli ndo za Kumwagaa....!!!
MAMBO YANAYONISHANGAZA:
~Sio waislamu wala christians Burundi watu ni wafia dini yani wanajua na wanapenda dini balaa makanisani panajaa miskitini panajaa.Naamini dini zetu zinachangia pakubwa sana kwenye umaskini hapa Mzungu na Mwarabu walituweza washenzi wale...!!!
~Elimu HONGERA kwa Sekta ya Elimu ya TZ japo mtaala ni mbovu ila kwenye uniform TZ ilipatia sana..Haiwezekani wanafunzi wa Burundi sketi hazijawekewa Marinda yani zinachora shepu na vitoto vya sikuizi miaka 14 tu shape hiyoo.Watu kama KENGE tunapata tabu sana Wakuu..pia hata KENYA vyanafunzi vinavaa sketi fupi mno sijajua kwa UG na Rwanda.
Burundi wanapata sana Scholarship za France kwakua ni Colon lao..Elimu ni kuanzia la kwanza mpaka 13-16...
~Burundi hakuna Vivutio vya Utalii wala Mbuga za wanyama.Cha zaidi ni (Game reserve) Kinachoniuma kwenye Geography tulisoma Maeneo yaliyopitiwa na Rift valley yanaasilimia kubwa kutoa milima mirefu kama Oldonyo Lengai,Everest n.k Lakini kwa Burundi Hakuna Mlima hata mmoja wa kivutia cha utalii licha ya kuwa na miinuko,Mabonde nchi nzima
Cha kusikitisha kuna Ziwa Tanganyika ila Hakuna Mamlaka ya maji kama DAWASCO kwa TZ yaani kifupi kuna mgao wa maji hasa kule RUMONGE mkoa mzima umepakana na Ziwa ila kuna shida kubwa sana ya Maji Umeme ndo usiulize.
Mziki wanasikiliza wa TZ na Maeneo kama Rumonge wanaongea kiswaili vzuri kabsa ila Bujumbura ndo kuna baadhi wanaelewa kiswahili licha ya kuwa lugha mama ni Kirundi lakini asilimia kama zote wanabonga Kiswahili
Burundi ni nchi pekee unayoweza kusema wewe ni Tanzanian na wakakushobokea..Yaani pamoja na kwamba Nina ngozi ngumu kama ya KENGE na Sura mbaya kama Lori la Mchele kule Mbeya...Lakini huku kwa warundi nikisema tu mimi M-TZ basi watoto wananishobokea balaa kiasi kwamba wanavuka mpaka na kuniita (Hensam boi) Hapa ndo nikashtuka..Nenda Kenya sasa Useme wwe ni m-bongo uone wanavyokudharau...!!
Pia,Nilichogundua Bongo machokoraa wa stendi ni wasafi kulinganisha na wa Burund...Choko wa Burundi wanajua kuomba aisee hawakuachi na ni vichafu kinoma ukijumlisha Udongo ni mwekundu maeneo mengi basi vinakua vichafuu,,vyeusii..Mungu atuepushe na Umaskini aisee lakini Awezi kutuepusha kama sisi wenyewe tumebweteka kusubiri wazungu watutengenezee kila kitu.
Vilevile Ukitembea jiji zima hakuna nyumba iliotengenezwa kwa Tofali za Block..ni mwendo wa (Tofali za Choma)
Nchi kama hizi Chakula sio shida kwasababu uti wa uchumi wetu ni Kilimo kwaiyo vilevile Burundi Wanakima kila kitu na Kufuga kwaio nyama na Maziwa ni kama zote..Wana Ugali wao wa Roi umetengenezwa kwa Mihogo bongo inabidi tuutumie ni mzuri kwa Afya japo ukiskia unavyotengenezwa unaweza kuhairisha/Kususa kula..
View attachment 2606757
~VYUO VIKUU vinapatikana Bujumbura tu
~AIRPORT ni moja tu nchi nzima
~FARANGA haina thamani kabsaa ukichange 100k Tsh kuwa Faranga wewe ni taita..
~Kama wabongo tu wanaamini South kwa Madiba ndo kuna Maisha yani ukifika umetoboa..
~Maeneo mengi vijijini gari likipita wanalishangaa wakubwa kwa watoto
Pamoja na yote BURUNDI wanazaliana balaa sio ajabu kukuta Mzee anawake wawili na kila Mke anawatoto 10+ nafkir ni kwasababuSTAREHE YA MASKINI NI KUDINYANA
Fursa za Ajira kwa wabongo ukija ukosi kabsaa yani kama unataka utoboe mapema ujenge mapema nenda Burundi kama unaakili ya pesa utapiga sana kwasababu bado wako nyuma ya muda
Narudi kuendelea,bado nipo bujumbura
View attachment 2606756
Asante Kwa taarifa,sijafika Burundi Wala Sina mpango wa kwenda huko.
Nilikuwa naamini Burundi ni kuchafu Sasa umenikazia maarifa .
By the way Africa Kuna nchi masikini sana ukifika tashangaa
1) central Africa
2)Togo
3) Mozambique ( hasa northern party)
4) Burkina Faso Kwa kina Aziz ki
5)Chad
6) DRC
7) Madagascar
8) Mali
9) Niger
10) Eritrea
11)congo Brazzaville
12) sudani kusini
13)Ethiopia ( usione Wana midege,ni malofa haswa)
14) Benin
15)Liberia
...........
Utajiri namba moja ninaomiliki ni kutambua kua dini ni kwa ajili ya matajiri ndio maana ukienda kanisani unakutana na masanduku ya Sadaka, masikini asie na kitu akienda kanisani anaonekana hajatoa kitu anaonekana hajafanya ibada yoyote na kaenda kanisani kujaza wingi tu, kwa hio maarifa niliyonayo ya kuyatambua hayo ni moja ya utajiri tosha, maana utajiri uanzia kwenye akili sio kwenye utashi sio kwenye hisia hapa nazungumzia Maarifa ambavyo vyote kwa pamoja vipo ndani ya mfumo wa Nafsi, mfumo wa Roho unajihusisha na Imani ili uwe tajiri lenga mfumo wa Nafsi yako ambao umegawanyika katika sehemu kuu 3 yaan akili, utashi na hisia ambavyo kwa pamoja vinahusisha Maarifa na ili uwe tajiri inabidi uwe na Maarifa ya kutosha ambayo yanahiusisha akili yakombona watoa mifano ya mbali maalim? Hebu tuambie wew toka umejiweka mbali na dini unamiliki utajiri kiasi gani hadi sasa yaan?
Hili nalo hujui blazaBurundi kuwa koloni la Ufaransa?
Historia ya primary au secondary hiyo?
Dini aisababushi watu kuwa masikini nawashangaa watu washenzi kila kuhusisha dini na umasikini!!wewe hapo uliopo unajifanya kuponda dini lakini wewe sio miongoni mwa matajiri wa nchi hii!kama kigezo ni ndini kwanini wewe usiwe tajiri?Kwenye "kusaka tonge" Nimejikuta mara kadhaa nadondokea kwenye nchi jirani ila hii nchi ya BURUNDI inanifanya kila siku nizidi kuthamini na kuipenda TZ..Burundi ni nchi ambayo imepitiwa na Bonde la UFA "Rift valley" sasa sijui ni geographical area ndo inasababisha umaskini huu au ni nini? Lakini mbona Rwanda Nao ni nchi ndogo tena walikua Level moja kiuchumi miaka kadhaa ila Leo Rwanda iko mbali sana.
MIUNDOMBINU:
Barabara ya TZ ni nyembamba ila ya Burundi ni nyembamba Pro max na inamabonde,Mashimo,Kona na miinuko ya kufa mtu.Ajali ni kila siku tena zinaua kuliko za bongo.Mbaya zaidi wanatumia protocol ya barabara(Left na Right) kinyume na hii yetu hali ya kuwa magari mengi ni (Right hand)Kwaio kuovertake mpama utokeze mzimamzima kuchungulia hapo ndo msala unaanzia.kifuatacho ni INNALILLAH..BWANA ALITWAA..RIP
USAFIRI:
Burundi inamikoa zaidi ya 7 ila Airport iko moja tu nchi nzima (BUJUMBURA tu)..Usafiri wao sanasana ni TAX(probox mchomoko) bodaboda na Baiskeli ndo za Kumwagaa....!!!
MAMBO YANAYONISHANGAZA:
~Sio waislamu wala christians Burundi watu ni wafia dini yani wanajua na wanapenda dini balaa makanisani panajaa miskitini panajaa.Naamini dini zetu zinachangia pakubwa sana kwenye umaskini hapa Mzungu na Mwarabu walituweza washenzi wale...!!!
~Elimu HONGERA kwa Sekta ya Elimu ya TZ japo mtaala ni mbovu ila kwenye uniform TZ ilipatia sana..Haiwezekani wanafunzi wa Burundi sketi hazijawekewa Marinda yani zinachora shepu na vitoto vya sikuizi miaka 14 tu shape hiyoo.Watu kama KENGE tunapata tabu sana Wakuu..pia hata KENYA vyanafunzi vinavaa sketi fupi mno sijajua kwa UG na Rwanda.
Burundi wanapata sana Scholarship za France kwakua ni Colon lao..Elimu ni kuanzia la kwanza mpaka 13-16...
~Burundi hakuna Vivutio vya Utalii wala Mbuga za wanyama.Cha zaidi ni (Game reserve) Kinachoniuma kwenye Geography tulisoma Maeneo yaliyopitiwa na Rift valley yanaasilimia kubwa kutoa milima mirefu kama Oldonyo Lengai,Everest n.k Lakini kwa Burundi Hakuna Mlima hata mmoja wa kivutia cha utalii licha ya kuwa na miinuko,Mabonde nchi nzima
Cha kusikitisha kuna Ziwa Tanganyika ila Hakuna Mamlaka ya maji kama DAWASCO kwa TZ yaani kifupi kuna mgao wa maji hasa kule RUMONGE mkoa mzima umepakana na Ziwa ila kuna shida kubwa sana ya Maji Umeme ndo usiulize.
Mziki wanasikiliza wa TZ na Maeneo kama Rumonge wanaongea kiswaili vzuri kabsa ila Bujumbura ndo kuna baadhi wanaelewa kiswahili licha ya kuwa lugha mama ni Kirundi lakini asilimia kama zote wanabonga Kiswahili
Burundi ni nchi pekee unayoweza kusema wewe ni Tanzanian na wakakushobokea..Yaani pamoja na kwamba Nina ngozi ngumu kama ya KENGE na Sura mbaya kama Lori la Mchele kule Mbeya...Lakini huku kwa warundi nikisema tu mimi M-TZ basi watoto wananishobokea balaa kiasi kwamba wanavuka mpaka na kuniita (Hensam boi) Hapa ndo nikashtuka..Nenda Kenya sasa Useme wwe ni m-bongo uone wanavyokudharau...!!
Pia,Nilichogundua Bongo machokoraa wa stendi ni wasafi kulinganisha na wa Burund...Choko wa Burundi wanajua kuomba aisee hawakuachi na ni vichafu kinoma ukijumlisha Udongo ni mwekundu maeneo mengi basi vinakua vichafuu,,vyeusii..Mungu atuepushe na Umaskini aisee lakini Awezi kutuepusha kama sisi wenyewe tumebweteka kusubiri wazungu watutengenezee kila kitu.
Vilevile Ukitembea jiji zima hakuna nyumba iliotengenezwa kwa Tofali za Block..ni mwendo wa (Tofali za Choma)
Nchi kama hizi Chakula sio shida kwasababu uti wa uchumi wetu ni Kilimo kwaiyo vilevile Burundi Wanakima kila kitu na Kufuga kwaio nyama na Maziwa ni kama zote..Wana Ugali wao wa Roi umetengenezwa kwa Mihogo bongo inabidi tuutumie ni mzuri kwa Afya japo ukiskia unavyotengenezwa unaweza kuhairisha/Kususa kula..
View attachment 2606757
~VYUO VIKUU vinapatikana Bujumbura tu
~AIRPORT ni moja tu nchi nzima
~FARANGA haina thamani kabsaa ukichange 100k Tsh kuwa Faranga wewe ni taita..
~Kama wabongo tu wanaamini South kwa Madiba ndo kuna Maisha yani ukifika umetoboa..
~Maeneo mengi vijijini gari likipita wanalishangaa wakubwa kwa watoto
Pamoja na yote BURUNDI wanazaliana balaa sio ajabu kukuta Mzee anawake wawili na kila Mke anawatoto 10+ nafkir ni kwasababuSTAREHE YA MASKINI NI KUDINYANA
Fursa za Ajira kwa wabongo ukija ukosi kabsaa yani kama unataka utoboe mapema ujenge mapema nenda Burundi kama unaakili ya pesa utapiga sana kwasababu bado wako nyuma ya muda
Narudi kuendelea,bado nipo bujumbura
View attachment 2606756
Burundi pesa yao inaitwa marundi tsh iko juu ya marundi1 burundi franc = 1.13 Tsh.
Mbona pesa yetu ndio haina thamani mbele ya pesa yao.