zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Utajiri sio kua namba ngapi kuna matajiri wengi wanaowazidi wale walio kwenye namba ndio maana mganga hukupeleka makaburini akakuague maana anajua Nafsi na Roho zenye utajiri mwingi zipo pale makaburini kuliko sehemu nyingine yoyote, akili yako ndio utajiri wako, sasa unaitumiaje akili yako ili uwe tajiri kuendana na akili yako hapo ndio kwenye puzzleUnaharisha tu, badala ya kujibu swali.
Wewe usiefata dini, ni tajiri namba ngapi hapa TZ?
Nimekwambia utajiri wangu ni Maarifa yangu niliyonayo, utajiri namba moja ni kuwaongopea masikini wasio na Maarifa kwa kupitia Maarifa uliyonayo, good example wanasiasa au niseme wafanyabiashara za kisiasa, wanatumia Maarifa waliyonayo ya kisiasa kuwaadaa masikini wasiojua masuala ya kisiasa kujiingizia kipato na kutajirika
Una swali lingine uliza uwanja ni wako