Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

Sorry Mkuu Burund haijawai tawaliwa na France .imetawaliwa na Belgium toka kwa Germany after ww1. ila ni rah isi kwa watu wa Rwanda, Burundi na Congo kwenda France kutokana na kutumia lugha ya kifaransa. Bcoz Belgium inatumia kifaransa km lugha ya taifa. Asnte kw taarifa nzur
 
"Licha ya kwamba nina ngozi ngumu kama KENGE na sura mbaya kama Lori za mpunga kule kyela lakini bado wakaniita (Hensam boi)walivyojua kuwa ni M-TZ"

Nakutakia kila la heri mkuu sema ukigusa tu Mimba imo pisi za burundi vizazi vipo karibu mno
Hao warundi hawatumii,
Hawatumii ma P2 na trust lily, frexi-P, microgynone pills, depo injection,
Kubwa Yao,
Misoprostol tabs for abortion N. k

Pia nijulishe swala la usalama vp ujambazi,
Pia mambo ya ulozi na ushirikina yakoje?
 
Huyu jamaa ni mpagani ila ndio tajiri kuliko wote, sisem watu wasisali ina nasema kwanini shetani anawainua mapagani kiasi hicho? Nasisitiza ELON MUSK NI MPAGANI...
Tofautisha wanaoabudu Dini na wanaoabudu utajiri hapo kuna mstari mmoja mkubwa sana, mtu haufanyi kazi unategemea eti ukikesha kanisani eti Pesa itajileta kwa shuhuda za uongo madhabauni
 
Ili uwe na fedha lazima ufanye kazi kwa bidii... jaman kama kanisani tunaenda kusali its a very good thing ila ILI UWE TAJIRI LAZIMA UFANYE KAZI MUNGU HAPENDI WAVIVU NA WAPUMBAVU HATA SIKU MOJA...
 
Kuna watu misukule utawasikia wakisema heti mimi sina dini lakini na muomba Mungu,swali bila dini Mungu unge mjuaje?
Mbona zaman wazee hawakua na dini na bado walifanya ibada kumuomba Mungu? Unadhan walimjuaje?
 
Sorry Mkuu Burund haijawai tawaliwa na France .imetawaliwa na Belgium toka kwa Germany after ww1. ila ni rah isi kwa watu wa Rwanda, Burundi na Congo kwenda France kutokana na kutumia lugha ya kifaransa. Bcoz Belgium inatumia kifaransa km lugha ya taifa. Asnte kw taarifa nzur
Asante kwa ufafanuzi somo la History nilikua silipendi sana ila Geography ndo ilipanda kwenye "Social studies"
 
Asante Kwa taarifa,sijafika Burundi Wala Sina mpango wa kwenda huko.
Nilikuwa naamini Burundi ni kuchafu Sasa umenikazia maarifa .
By the way Africa Kuna nchi masikini sana ukifika tashangaa
1) central Africa
2)Togo
3) Mozambique ( hasa northern party)
4) Burkina Faso Kwa kina Aziz ki
5)Chad
6) DRC
7) Madagascar
8) Mali
9) Niger
10) Eritrea
11)congo Brazzaville
12) sudani kusini
13)Ethiopia ( usione Wana midege,ni malofa haswa)
14) Benin
15)Liberia
...........
Aloo hapo kwa Ethiopia umenifungua macho mkuu, nilikuwa nikiona ile midude ya Ethiopian najua ni bonge la nchi kiasi nikawa natamani nifike, maana wanasema shirika lao la Ndege ni kati ya mashirika makubwa na yanayofanya vizuri Afrika
 
Sehemu nzuri ya kula bata hiyooo,,, huwa nakula maisha sana nikiwa Buja kwanza nikiwa na laki 5 kule ni kama milion kasoro lkn matumizi yanakalibiana

Maana bia yao maarufu amstel inauzwa faranga 2000/2500 usafiri wa town (daladala) bei ni ile ile faranga 500, vyumba vya kulala guest bei kuanzia faranga 15000 hii ni self

Kilo ya nyama (kitimoto) bei ni ile ile faranga 10,000/- kama ni mtu wa mademu ukiwa bar zao bei ni ile ile kama bongo,, japo kwa Burundi kutumia takeaway upende ww maana shobo kwa wabongo ni wazi wazi

Mm naibukaga chuo kikuu chao na bahati nzuri nafikiaga Kamenge pale bar kumtwenzi ni karibu kabisa tax nenda rudi ni faranga 10,000 tu pale wanakitivo cha Kiswahili kuna jamaa angu pale ni mtu wa Muyunga anajua kidogo kiswahili

Kwaiyo huwa najiongeresha tu Kiswahili utasikia watoto wa kitusi "alimtanzania" nikushika tu mkono na kupeleka kiwanja,, t*mba sana sema wana maji kama Bukoba tu,,

Japo wanatuogopa kuhusu ufilauni,, neno kwa mpalange wanalijua sana,, na ukiwa nae kwa sex anakutahadharisha kabisa usinifanyie vileeeee

Ukiwa Bujumbura jitahidi kidogo kukaa sehemu za kishua utajihisi tu kama upo Mwanza ama Arusha umasikin hautauona sana, ila ukiwa maeneo ya changanyikeni kiukweli panatisha omba omba ni wengi sana

Kuhusu suala la fursa za kibiashara zipo sana changamoto ni money exchange,, benki za Burundi hazina dola, bahati mbaya hela yao haitamburiki pia kwenye mabenki yetu ukiwa na faranga huwezi kuibadilisha benki yoyote nchini

Kwaiyo inabidi uibadirishie mitaani kwa watu ambapo faranga 3700 unapewa dola moja, hii inaumiza kidogo niliwahi kupeleka bidhaa nikaishia siku hiyo hiyo na baadhi ya fedha nikailia bata pale Kamenge
 
Sehemu nzuri ya kula bata hiyooo,,, huwa nakula maisha sana nikiwa Buja kwanza nikiwa na laki 5 kule ni kama milion kasoro lkn matumizi yanakalibiana

Maana bia yao maarufu amstel inauzwa faranga 2000/2500 usafiri wa town (daladala) bei ni ile ile faranga 500, vyumba vya kulala guest bei kuanzia faranga 15000 hii ni self

Kilo ya nyamba (kitimoto) bei ni ile ile faranga 10,000/- kama ni mtu wa mademu ukiwa bar zao bei ni ile ile kama bongo,, japo kwa Burundi kutumia takeaway upende ww maana shobo kwa wabongo ni wazi wazi

Mm naibukaga chuo kikuu chao na bahati nzuri nafikiaga Kamenge pale bar kumtwenzi ni karibu kabisa tax nenda rudi ni faranga 10,000 tu pale wanakitivo cha Kiswahili kuna jamaa angu pale ni mtu wa Muyunga anajua kidogo kiswahili

Kwaiyo huwa najiongeresha tu Kiswahili utasikia watoto wa kitusi "alimtanzania" nikushika tu mkono na kupeleka kiwanja,, t*mba sana sema wana maji kama Bukoba tu,,

Japo wanatuogopa kuhusu ufilauni,, neno kwa mpalange wanalijua sana,, na ukiwa nae kwa sex anakutahadharisha kabisa usinifanyie vileeeee

Ukiwa Bujumbura jitahidi kidogo kukaa sehemu za kishua utajihisi tu kama upo Mwanza ama Arusha umasikin hautauona sana, ila ukiwa maeneo ya changanyikeni kiukweli panatisha omba omba ni wengi sana

Kuhusu suala la fursa za kibiashara zipo sana changamoto ni money exchange,, benki za Burundi hazina dola, bahati mbaya hela yao haitamburiki pia kwenye mabenki yetu ukiwa na faranga huwezi kuibadilisha benki yoyote nchini

Kwaiyo inabidi uibadirishie mitaani kwa watu ambapo faranga 3700 unapewa dola moja, hii inaumiza kidogo niliwahi kupeleka bidhaa nikaishia siku hiyo hiyo na baadhi ya fedha nikailia bata pale Kamenge
Vipi kwa upande wa bishara ya madawa ya binadamu Pharmacy
 
Back
Top Bottom