Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Kwa nachojua nchi za Africa ukitoa za west kido lakini huku East and centre Africa umasikini ni Mkubwa yaani hakuna wa kumcheka mwenzie hata hapa Tanzania umasikini ni Mkubwa Sana na unatisha as the same Kenya , Uganda, Burundi . Sudan nk msumbiji nk
Yaani Africa hasa watu weusi Maisha yetu hayana nafuu kwa wengi wetu , ndo maana huwezi. Kumjua Mtu mwenye Kazi au jobless hapa TANZANIA umasikini ni Mkubwa Sana . Tena Sana Uganda nimekaa nimejionea Maisha yao kenya Tz Sudan so msiseme Burundi mkasahau kuwa umasikini ni tatizo la nchi zetu zote
Mkuu natamani ungejua kuwa umeongea vice versa hapo kwenye West an East African Countries. Wa west wengi waliotawaliwa na France hali zao tia maji tia maji sana.