fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
h
haikuandikwa alipita tajiri wala haikuandikwa masikini walipita pembeni kasme vizuriAliemzika Yesu alikua ni Tajiri wa Kutupwa masikini walishindwa kumzika Yesu sababu ya Gharama za Mazishi hazikua ndogo na hata kaburi lake lilikua la Nyota 5 sio makaburi ya kapuku km lile alilomfufua Razaro
Yesu pia kuna pahala anawasimulia wanafunzi na makutano juu ya mtu alievamiwa na majambazi na kujeruhiwa vibaya Ila walipita watu wa kanisa wakuu wa Makuhani wakapita kando, walipita wazee wa Busara wakapita kando wasimsaidie Ila akapita Tajiri mmoja akiwa na punda zake akamsaidia kwa kumpa huduma ya kwanza majeraha yake na pia akampeleka hotelini akalipia apewe matibabu hadi pale atakapopona, yaan Tajiri alilipa gharama zote jamaa atibiwe mpaka apone pamoja na kwamba alikua hamjui ilihali masikini walimkimbia jamaa hawakumuokoa sababu ya kukimbia gharama
Umeelewa maana ya hio hadithi ilimaanisha nini ?