Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa

Afya ya Akili inazidi kutapakaa kila kukicha.
Kati ya Dalili zake ni Kujiona Unajua sana, Unajua Vingi, Hushindwi kitu, Haukosei.

#WaoneWataalamuWaAfyaYaAkili Kuna mahali Hakuko sawa.
Aahaaaaa,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuanze na wewe, pamoja na degree yako ya mass communication lakini hata kuandika story iliyonyooka ukaeleweka huwezi, popoma cheti chako ni changamoto na unaonekana ulikuwa hoi kitaaluma
 
Kuna jamaa alimaliza philosophy ngazi ya degree aliniambia anafundisha chuo kikuu kinachomilikiwa na kanisa, sielewi anafundisha Nini! Hakutania alikuwa serious!
 
Kuvaa kiatu Cha mwanafunzi daktari ni kitu kigumu Sana. Wote wangesoma kama jamii inavyotaka ,kwamba wasome bila kupumzisha akili, yan ule usongo usongo wa kufikirika na jamii , basi tungewakuta madaktari wengi au wote milembe.
Safari ya Hawa madaktari ni ndefu sana,, wangapi mmekimbia kozi za sayansi O-level na A-levels? Lakini Hawa watu walipambana wakapita hivyo vihunzi. It means Akili ipo ya kutosha
Unajua struggles wanazozifanya vyuoni kupita Kila semister?
UKIONA DAKTARI KAHITIMU, MPE HESHIMA YAKE. USIMCHUKULIE POA.

And hiyo Simba na Yanga unayoisemea, daktari anaweza kuingizia tu ili kutengeneza atmosphere nzuri kwako, uwe huru. Ungehudumiwa na mtu kakunja sura kama gadafi ungependa? Na hawezi ingizia hizo madam kama una maumivu makali, hicho kitu hakipo.
Let this people have peace!!!!
 
Afya ya Akili inazidi kutapakaa kila kukicha.
Kati ya Dalili zake ni Kujiona Unajua sana, Unajua Vingi, Hushindwi kitu, Haukosei.

#WaoneWataalamuWaAfyaYaAkili Kuna mahali Hakuko sawa.
Aliyekuzaa Kapona lini hilo tatizo Kubwa?
 
Usinilazimishe nikudharau kwa huu Utetezi wako wa Kipuuzi kwa Mada niliyoianzisha.
 
Tuanze na wewe, pamoja na degree yako ya mass communication lakini hata kuandika story iliyonyooka ukaeleweka huwezi, popoma cheti chako ni changamoto na unaonekana ulikuwa hoi kitaaluma
Halafu huyo huyo GENTAMYCINE unayemsema hapa JamiiForums nzima ana Followers ( tena Great Thinkers ) 161 huku Mpumbavu Wewe ukiwa huna hata Mmoja ( 1 ) na pia huyo huyo GENTAMYCINE unayemsema hapa ndiyo Mshindi wa Jumla na Zawadi Nono wa Shindano la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) kwa Msimu wa 2022 / 2023 huku Mpumbavu Wewe ukiwa hata hujulikani.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Braza popoma nimekuelewa Wallah
 
Duh,

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…