Kwa nini baadhi ya watu hawapendi kusalimiwa shikamoo?

Inategemea sasa, unaenda kiwanja unakutana na katoto ka 2000, kazuri kazuri, kanakusalimia shikamoo. 😁

Juzi nimepoa pub nacheki game ya PSG vs Liverpool, anakuja mhudumu mkali Gen-Z anasalimia shikamoo. Sikuitikia, akasema kaka nakusalimia, nikamwambia Shikamoo ni salamu ya kutaka kumnyima mtu kitu.
Akacheka sana. 😁
 
Basi hawapendi
Shikamoo imekaa ki unafki fulani kwa baadhi ya watu
Na mimi nafikiria kama wewe. Kna watu wanadhani ukisalimiwa shikamoo na eg mwanamke ina maana huwezi kum-approach kumbe siyo hivyo. Nimeona watu wengi tu wanasalimiwa shikamoo na ''totoz''.

Tatizo liko kwenye asili ya shikamoo yenyewe. Imekaa kitumwa na kinafiki. N sawa na watu wanaopenda kutanguliza neno ''mzee'' kabla ya jina la mtu. naudhi kweli kweli kwa sababu ni kama dharau.
 
Na wewe tumia akili yako..Sasa mtoto wa kike mzuri ,kapanda juu, macho ya gololi, macho yanaita, sura amejaaliwa na shape kwa ujumla,anakusalimia shikamoo,hata kama mwanamume ni chizi hawezi kuitikia marahaba.
Kwani ukiitikia maharaba huwezi kufanya unachotaka? Hizi ni imani ambazo hazina ukweli wowote.
 
Na mimi nafikiria kama wewe. Kna watu wanadhani ukisalimiwa shikamoo na eg mwanamke ina maana huwezi kum-approach kumbe siyo hivyo. Nimeona watu wengi tu wanasalimiwa shikamoo na ''totoz''. Tatizo liko kwenye asili ya shikamoo yenyewe. Imekaa kitumwa na kinafiki. N sawa na watu wanaopenda kutanguliza neno ''mzee'' kabla ya jina la mtu. naudhi kweli kweli kwa sababu ni kama dharau.
Ni kweli mzee
 
Tawile tupo sawa
 
Inategemea sasa, unaenda kiwanja unakutana na katoto ka 2000, kazuri kazuri, kanakusalimia shikamoo. 😁

Juzi nimepoa pub nacheki game ya PSG vs Liverpool, anakuja mhudumu mkali Gen-Z anasalimia shikamoo. Sikuitikia, akasema kaka nakusalimia, nikamwambia Shikamoo ni salamu ya kutaka kumnyima mtu kitu.
Akacheka sana. 😁
Wala sio swala, salamu inanaza vingine vinafuata!
 
Inategemea sasa, unaenda kiwanja unakutana na katoto ka 2000, kazuri kazuri, kanakusalimia shikamoo. 😁

Juzi nimepoa pub nacheki game ya PSG vs Liverpool, anakuja mhudumu mkali Gen-Z anasalimia shikamoo. Sikuitikia, akasema kaka nakusalimia, nikamwambia Shikamoo ni salamu ya kutaka kumnyima mtu kitu.
Akacheka sana. 😁
Ndo zao hao hata sisi magen z wenzao wanatupa shkamoo za kinyimaji.
 
Na wewe tumia akili yako..Sasa mtoto wa kike mzuri ,kapanda juu, macho ya gololi, macho yanaita, sura amejaaliwa na shape kwa ujumla,anakusalimia shikamoo,hata kama mwanamume ni chizi hawezi kuitikia marahaba.
Ukiwa huna hela huwez kuitikia ila ukiwanazo unaitikia na unamtuma vocha ya 10k,akirud unampa namba na 20k..,
Atakutafuta atakusalimia kwa nidham na atakukubalia unachotaka..
Tatizo ni ufukara wetu ndo unafanya ukwepe salamu
 
Back
Top Bottom