secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Shikamboo GENTAMYCINE.
Nini maana ya shikamoo?Kwa nini baadhi ya watu hawapendi kusalimiwa shikamoo?
ID inayoogopwa Kuchukuliwa hatua (KUADHIBIWA) na Moderators wa JamiiForums kwa kupenda Kunichokoza, Kunitukana, Kunishambulia na Kunidhalilisha. Na nina uhakika kwa jinsi hawa hawa wanaoigopa hii ID wanavyonichukia hivi anavyofanya Yeye (inavyofanya hii ID) ingekuwa ndiyo Mimi GENTAMYCINE hivi sasa ningekuwa BANNED tayari ama kwa Siku 30 au Siku 90. Ni kama vile Moderators wa JamiiForums wanafurahia hiki akifanyacho japo nimeshairipoti sana hii ID Kwao.Shikamboo GENTAMYCINE.