Ni kwa sababu ya maji ya hukoNiko na safari larger zangu hapa ,ni tani kwa ajiki mu kuliko za mikoa mingine nilizowahi kunywa.
Kuna siri gani bia za huku kuwa tamu?
Hayo maji yanayowaozesha meno?Ni kwa sababu ya maji ya huko
Siyo maji yote ya Arusha na Kilimanjaro yana Fluoride .Hayo maji yanayowaozesha meno?
Hapo umejibu jibu murua kabisa.Ni kwa sababu ya maji ya huko
Maji ya Arusha na Kilimanjaro yanaweza kuwa na fluoride nyingi inayoozesha meno lakini ndio maji matamu kuliko yote kama hujawah kuishi Arusha unaweza usielewe ila ukifika mikoa mingine utagundua Haina taste kama ya Arusha na sio bia tu hata coca ya Arusha au Kilimanjaro ni tamu kuliko ya dar au sehemu nnyingineHayo maji yanayowaozesha meno?
Maji ya Arusha na Kilimanjaro yanaweza kuwa na fluoride nyingi inayoozesha meno lakini ndio maji matamu kuliko yote kama hujawah kuishi Arusha unaweza usielewe ila ukifika mikoa mingine utagundua Haina taste kama ya Arusha na sio bia tu hata coca ya Arusha au Kilimanjaro ni tamu kuliko ya dar au sehemu nnyingineHapo umejibu jibu murua kabisa.
Hivi wewe mbona hujawahi kutoa huo muongozo hata siku moja?