Kwa nini bia za moshi na Arusha ni tamu kuliko bia za mikoa mingine?

Kwa nini bia za moshi na Arusha ni tamu kuliko bia za mikoa mingine?

Bia zisizo tamu ni za mikoa gani mkuu
 
Ata Coca. Ni Pepsi tu ndi ana maintain Kwasababu yeye style yake ya operation sio kama makampuni ya bia na Coca.
 
Maji ni factor. Pia viwanda ni tofauti, probably hata ma engineers wa chemical ni tofauti.

Kwa wachumi kuna kitu chaitwa productivity... hicho kitu kinasababisha ubora wa bidhaa kuwa tofauti
 
Hayo maji yanayowaozesha meno?
Maji ya Arusha na Kilimanjaro yanaweza kuwa na fluoride nyingi inayoozesha meno lakini ndio maji matamu kuliko yote kama hujawah kuishi Arusha unaweza usielewe ila ukifika mikoa mingine utagundua Haina taste kama ya Arusha na sio bia tu hata coca ya Arusha au Kilimanjaro ni tamu kuliko ya dar au sehemu nnyingine
Maji yanayotoka milimani yanajulikana siku zote kuwa ni matamu zaidi na Kilimanjaro na Meru ndio milima mikubwa nchini hivo jibu unalo
Screenshot_20250824-104801_1.jpg
 
Hapo umejibu jibu murua kabisa.
Maji ya Arusha na Kilimanjaro yanaweza kuwa na fluoride nyingi inayoozesha meno lakini ndio maji matamu kuliko yote kama hujawah kuishi Arusha unaweza usielewe ila ukifika mikoa mingine utagundua Haina taste kama ya Arusha na sio bia tu hata coca ya Arusha au Kilimanjaro ni tamu kuliko ya dar au sehemu nnyingine
Maji yanayotoka milimani yanajulikana siku zote kuwa ni matamu zaidi na Kilimanjaro na Meru ndio milima mikubwa nchini hivo jibu unaloView attachment 3451040
 
Back
Top Bottom