Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Hadi AFCON watu wako na vilaser? Waarabu uungwana na fairplay vimewapita pembeni kabisa.Vitu kama hivi vinafanya haya mashindano Wazungu wayaone kama Ndondo tu.
Nipanulie niishindilie yote myuuuuuuu....!!GENTAMYCINE anasemaje?!
πππππNipanulie niishindilie yote myuuuuuuu....!!
Itakuwa hayana madharaHuu ujinga ni aibu sana kwa watu waliostaarabika. Wanawaogopa au ni nini?