Basi pengine ulikuja Kenya kwenye ndoto yako.It's not worth
Ni kweli sisi mafukara kila mtu na level yake! Wengine wanapewa chakula cha msaada karne hii! Aibu tupu!Umereply hiyo comment ni wazi kuwa umekubali kuwa nchi yenu ni fukara,
Mada ikiwa nzito mnasema tuna chuki na kenya kumbe ni mada ndio imekuwa ngumu kwenu kuijadili 😂😂😂
Iweje sasa hivi viwanda na biashara nyingi Kenya zinafungwa na kukimbilia nchi jirani?, iweje unemployment rate inaongezeka kuliko kipindi chote tangu mpate Uhuru?.Capitalistic system lazima ije na open market, investor friendly policies and stable political environment. Capitalism inaendana na democracy kwani hakuna investor anayeweza invest pesa yake katika dictatorship. Tulipopata uhuru wa pili baada ya dikteta kuondoka ndipo investors wengi wakaja kuinvest Kenya. Industries zilizokuja Kenya baada ya mwaka wa 2003 ni nyingi sana na zote zilikuja kwa sababu ya investor friendly environment. Yaani investors walijua kuwa pesa yao ilikuwa safe.
Basi sawaBasi pengine ulikuja Kenya kwenye ndoto yako.
Kuna chuki gani hapo?Sijashindwa kujadili. Ninajadili na Barbarosa kwa ustaarabu. Lakini kuna watu wengine humu ambao chuki yao kwa Kenya inawazuia kujadili. Mtu anayesema kwamba Kenya hatupandi chakula chochote eti tunaimport kila kitu ni mtu serious kweli?
Kweli kabisa wengine wako top ten ya nchi zinazopokea misaada kutoka marekani,Ni kweli sisi mafukara kila mtu na level yake! Wengine wanapewa chakula cha msaada karne hii! Aibu tupu!
Wengine bajeti yao nusu ni toka kwa wafadhili! Aibu nyingine. Hamna wa kumcheka mwenzake hapa!
Ni sekta gani ya kiuchumi isipokuwa Mining na Tourism ambayo Tanzania mmetushinda? Hata hiyo Agriculture sidhani kama mmetushinda. Service industry tumewagonga. Manufacturing tumewagonga. Real estate tumewagonga. ICT tumewagonga. Transportation tumewagonga. Retail tumewagonga. Roads and other infrastructure tumewagonga. Sasa ni uchumi gani huo wa ujambazi unaotaja hapa?Trying to fix yourselves with corruption?? Kwa hiyo una ji brag kuwa SA siyo level yenu tena? Mumeshaiacha nyuma? Nyie kitu mnaweza sawasawa ni ujambazi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii hali itazidi kuwa mbaya zaidi mwaka 2020, kwasababu Madeni Mengi yaliyokopwa na GoK ndio yameiva, yataanza kulipwaYou can't eat GDP [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Kujisifu una uchumi mkubwa wakati kwa ground vitu ni different.
Mbona umeegemea upande mmoja? Tz getting half of its budget funding from donors mbona hujaligusa?Kweli kabisa wengine wako top ten ya nchi zinazopokea misaada kutoka marekani,
Ni aibu sana kuomba misaada ya chakula karne hii wakati mashamba unayo umewamilikisha wanasiasa wachache na wazungu huku wakilima mazao yasiyo faa kwa chakula.
Yaani ni kama jipu lililoiva, linasubiri kupasuka tu.Na hii hali itazidi kuwa mbaya zaidi mwaka 2020, kwasababu Madeni Mengi yaliyokopwa na GoK ndio yameiva, yataanza kulipwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hivyo najadili na mtoto mdogo. Endelea kuamini unachotaka. Wewe huna tofauti na huyo ndugu yako. Eti nchi ya watu milioni arubaini na sita ikose kabisa watu wanaopanda chakula. Sitaweza kuendelea kujadili na watu wanaovaa ubongo kwenye kiuno kama mshipi badala ya kuitumia inavyostahili.Kuna chuki gani hapo?
Kuambiwa ukweli ndio chuki?
Mkishindwa kujadili mada mnaanza kusema sijui mnachukiwa,
Ingependeza Sana ungejadili mada husika na sio kuingiza mambo yasiyohitajika.
Jibu hoja, wacha kukimbilia kivulini. Kenya ina ardhi ya kutosha kuweza kujilisha, kwanini mnashindwa kujilisha?. Hatusemi muwe matajiri kama Qatar au UAE, tunataka mtumie kile kidogo mlichonacho vizuri, hakuna sababu yoyote kwa Kenya kushindwa kujilisha, kwasababu ardhi yenye rutuba mkiitumia vizuri, mnaweza kuzalisha chakula cha kuwatosha na kuuza nje, kama ilivyo ktk maua na chai. Tatizo ni siasa ya ubepari ndiyo inayosababisha njaa.Wachana na huyo jamaa. Ana chuki sana na Kenya.
Sisi tunapambana kutoka huko,Mbona umeegemea upande mmoja? Tz getting half of its budget funding from donors mbona hujaligusa?
Na hii hali itazidi kuwa mbaya zaidi mwaka 2020, kwasababu Madeni Mengi yaliyokopwa na GoK ndio yameiva, yataanza kulipwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo mnoo na ni madhara ya kutumia makwapa kufikiri,Kwa hivyo najadili na mtoto mdogo. Endelea kuamini unachotaka. Wewe huna tofauti na huyo ndugu yako. Eti nchi ya watu milioni arubaini na sita ikose kabisa watu wanaopanda chakula. Sitaweza kuendelea kujadili na watu wanaovaa ubongo kwenye kiuno kama mshipi badala ya kuitumia inavyostahili.
Wewe umekataa kukubali kwamba sisi tunapanda chakula chochote hapa Kenya, umebakia kuamini kwamba tunaimport chakula chetu chote. Sasa sina la kujadili na mtu anayefikiria hivi.Jibu hoja, wacha kukimbilia kivulini. Kenya ina ardhi ya kutosha kuweza kujilisha, kwanini mnashindwa kujilisha?. Hatusemi muwe matajiri kama Qatar au UAE, tunataka mtumie kile kidogo mlichonacho vizuri, hakuna sababu yoyote kwa Kenya kushindwa kujilisha, kwasababu ardhi yenye rutuba mkiitumia vizuri, mnaweza kuzalisha chakula cha kuwatosha na kuuza nje, kama ilivyo ktk maua na chai. Tatizo ni siasa ya ubepari ndiyo inayosababisha njaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Impact ya huo uchumi wenu mkubwa ni nn....? Mbona kero zilezile tu...Mara mia hata huku.... Jamani au mi ndio naona peke yangu....kuna kipindi nilikuwa Kenya... Honestly hamuendani kabisa na mnavyotuaminisha.
Sisi tunapambana kutoka huko,
Afadhali fedha kuliko msaada wa chakula maana ni aibu alafu isitoshe mtu mwenye njaa unaweza mfanya chochote ndio maana muda mwingine wachina wanawapeni msaada wa pombe kama chakula.
Sisi tunapambana kutoka huko,
Afadhali fedha kuliko msaada wa chakula maana ni aibu alafu isitoshe mtu mwenye njaa unaweza mfanya chochote ndio maana muda mwingine wachina wanawapeni msaada wa pombe kama chakula.