Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Aiseee 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️
 
Umereply hiyo comment ni wazi kuwa umekubali kuwa nchi yenu ni fukara,
Mada ikiwa nzito mnasema tuna chuki na kenya kumbe ni mada ndio imekuwa ngumu kwenu kuijadili 😂😂😂
Ni kweli sisi mafukara kila mtu na level yake! Wengine wanapewa chakula cha msaada karne hii! Aibu tupu!
Wengine bajeti yao nusu ni toka kwa wafadhili! Aibu nyingine. Hamna wa kumcheka mwenzake hapa!
 
Capitalistic system lazima ije na open market, investor friendly policies and stable political environment. Capitalism inaendana na democracy kwani hakuna investor anayeweza invest pesa yake katika dictatorship. Tulipopata uhuru wa pili baada ya dikteta kuondoka ndipo investors wengi wakaja kuinvest Kenya. Industries zilizokuja Kenya baada ya mwaka wa 2003 ni nyingi sana na zote zilikuja kwa sababu ya investor friendly environment. Yaani investors walijua kuwa pesa yao ilikuwa safe.
Iweje sasa hivi viwanda na biashara nyingi Kenya zinafungwa na kukimbilia nchi jirani?, iweje unemployment rate inaongezeka kuliko kipindi chote tangu mpate Uhuru?.

Ukweli ni kwamba, katika kipindi cha vita baridi, nchi zote zilizoegemea nchi za magharibi, zilipata "economic special favor" kwa kupata "FDI" na masoko toka katika nchi za Kibepari ambazo ndizo zilizokua zinamiliki uchumi na masoko ya dunia.

Sisi tuliokua tunaegemea mashariki, tulinyimwa mitaji, teknolojia na masoko ili tusalimu amri na kujiunga na upande wao, kama ilivyotokea kwa Ujerumani mashariki na nchi zilizotengeneza USSR.

Sasa hivi hiyo "special economic favor" haipo tena, ndio sababu uchumi wa nchi ambazo bado hazikuwa zimejiimarisha kama Kenya unayumba sana, na sisi ambao tayari tulijifunza kujitegemea ktk hali ngumu, tunaanza kukua kwa kasi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijashindwa kujadili. Ninajadili na Barbarosa kwa ustaarabu. Lakini kuna watu wengine humu ambao chuki yao kwa Kenya inawazuia kujadili. Mtu anayesema kwamba Kenya hatupandi chakula chochote eti tunaimport kila kitu ni mtu serious kweli?
Kuna chuki gani hapo?
Kuambiwa ukweli ndio chuki?
Mkishindwa kujadili mada mnaanza kusema sijui mnachukiwa,
Ingependeza Sana ungejadili mada husika na sio kuingiza mambo yasiyohitajika.

Ni kweli sisi mafukara kila mtu na level yake! Wengine wanapewa chakula cha msaada karne hii! Aibu tupu!
Wengine bajeti yao nusu ni toka kwa wafadhili! Aibu nyingine. Hamna wa kumcheka mwenzake hapa!
Kweli kabisa wengine wako top ten ya nchi zinazopokea misaada kutoka marekani,
Ni aibu sana kuomba misaada ya chakula karne hii wakati mashamba unayo umewamilikisha wanasiasa wachache na wazungu huku wakilima mazao yasiyo faa kwa chakula.

Trying to fix yourselves with corruption?? Kwa hiyo una ji brag kuwa SA siyo level yenu tena? Mumeshaiacha nyuma? Nyie kitu mnaweza sawasawa ni ujambazi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sekta gani ya kiuchumi isipokuwa Mining na Tourism ambayo Tanzania mmetushinda? Hata hiyo Agriculture sidhani kama mmetushinda. Service industry tumewagonga. Manufacturing tumewagonga. Real estate tumewagonga. ICT tumewagonga. Transportation tumewagonga. Retail tumewagonga. Roads and other infrastructure tumewagonga. Sasa ni uchumi gani huo wa ujambazi unaotaja hapa?
 
Kweli kabisa wengine wako top ten ya nchi zinazopokea misaada kutoka marekani,
Ni aibu sana kuomba misaada ya chakula karne hii wakati mashamba unayo umewamilikisha wanasiasa wachache na wazungu huku wakilima mazao yasiyo faa kwa chakula.

Mbona umeegemea upande mmoja? Tz getting half of its budget funding from donors mbona hujaligusa?
 
Kuna chuki gani hapo?
Kuambiwa ukweli ndio chuki?
Mkishindwa kujadili mada mnaanza kusema sijui mnachukiwa,
Ingependeza Sana ungejadili mada husika na sio kuingiza mambo yasiyohitajika.

Kwa hivyo najadili na mtoto mdogo. Endelea kuamini unachotaka. Wewe huna tofauti na huyo ndugu yako. Eti nchi ya watu milioni arubaini na sita ikose kabisa watu wanaopanda chakula. Sitaweza kuendelea kujadili na watu wanaovaa ubongo kwenye kiuno kama mshipi badala ya kuitumia inavyostahili.
 
Wachana na huyo jamaa. Ana chuki sana na Kenya.
Jibu hoja, wacha kukimbilia kivulini. Kenya ina ardhi ya kutosha kuweza kujilisha, kwanini mnashindwa kujilisha?. Hatusemi muwe matajiri kama Qatar au UAE, tunataka mtumie kile kidogo mlichonacho vizuri, hakuna sababu yoyote kwa Kenya kushindwa kujilisha, kwasababu ardhi yenye rutuba mkiitumia vizuri, mnaweza kuzalisha chakula cha kuwatosha na kuuza nje, kama ilivyo ktk maua na chai. Tatizo ni siasa ya ubepari ndiyo inayosababisha njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umeegemea upande mmoja? Tz getting half of its budget funding from donors mbona hujaligusa?
Sisi tunapambana kutoka huko,
Afadhali fedha kuliko msaada wa chakula maana ni aibu alafu isitoshe mtu mwenye njaa unaweza mfanya chochote ndio maana muda mwingine wachina wanawapeni msaada wa pombe kama chakula.
 
Atleast unajadili based on open information about Kenya openly available na Kenyans are discussing it bila uwoga, 2020 watu watakua rada deadly, thus success. Sasa pia compare the openly available information about Tanzania as at 2019 (on multidimensional poverty)., mnasemaje ama mumepangaje kujikwamua kutoka mahali mumefikishwa?
Na hii hali itazidi kuwa mbaya zaidi mwaka 2020, kwasababu Madeni Mengi yaliyokopwa na GoK ndio yameiva, yataanza kulipwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hivyo najadili na mtoto mdogo. Endelea kuamini unachotaka. Wewe huna tofauti na huyo ndugu yako. Eti nchi ya watu milioni arubaini na sita ikose kabisa watu wanaopanda chakula. Sitaweza kuendelea kujadili na watu wanaovaa ubongo kwenye kiuno kama mshipi badala ya kuitumia inavyostahili.
Uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo mnoo na ni madhara ya kutumia makwapa kufikiri,
Unajisifu unalima na wakati bila chakula cha msaada mambo hayaendi,
Hii tweet ina ukweli mchungu.

Jibu hoja, wacha kukimbilia kivulini. Kenya ina ardhi ya kutosha kuweza kujilisha, kwanini mnashindwa kujilisha?. Hatusemi muwe matajiri kama Qatar au UAE, tunataka mtumie kile kidogo mlichonacho vizuri, hakuna sababu yoyote kwa Kenya kushindwa kujilisha, kwasababu ardhi yenye rutuba mkiitumia vizuri, mnaweza kuzalisha chakula cha kuwatosha na kuuza nje, kama ilivyo ktk maua na chai. Tatizo ni siasa ya ubepari ndiyo inayosababisha njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umekataa kukubali kwamba sisi tunapanda chakula chochote hapa Kenya, umebakia kuamini kwamba tunaimport chakula chetu chote. Sasa sina la kujadili na mtu anayefikiria hivi.
 
Impact ya huo uchumi wenu mkubwa ni nn....? Mbona kero zilezile tu...Mara mia hata huku.... Jamani au mi ndio naona peke yangu....kuna kipindi nilikuwa Kenya... Honestly hamuendani kabisa na mnavyotuaminisha.

Kwanza kabisa mnaokuja huku wengi ni waganga njaa, mnaishia kwenye vigesti uchwara, mkiondoka mnaamini hiyo ndio Kenya, waulize Watanzania wenye uwezo wa kutalii ambao wameitembelea Kenya vizuri.
 
Mabingwa kwa multidimensional poverty EAC na SADC, jikomboeni kwanza, wacha kupayuka kutokana na news that are based on isolated cases., ukiweka shida za Kenya in context and look at them in broader sense, vs Tanzania's problems, kaka munahurumusha sana, na ni aibu kwa nchi kubwa yenye baraka tele kama Tanzania. Afadhali iwe Ethiopia ama Kenya, tunaweza toa vijisababu, lakini nyie ni nani aliwaroga???.,
Sisi tunapambana kutoka huko,
Afadhali fedha kuliko msaada wa chakula maana ni aibu alafu isitoshe mtu mwenye njaa unaweza mfanya chochote ndio maana muda mwingine wachina wanawapeni msaada wa pombe kama chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabingwa kwa multidimensional poverty EAC na SADC, jikomboeni kwanza, wacha kupayuka kutokana na news that are based on isolated cases., ukiweka shida za Kenya in context and look at them in broader sense, vs Tanzania's problems, kaka mubahurumusha sana, na ni aibu kwa nchi kubwa yenye baraka tele kama Tanzania. Afadhali iwe Ethiopia ama Kenya, tunaweza toa vijisababu, lakini nyie ni nani aliwaroga???.,

Back
Top Bottom