Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Kuna chuki gani hapo?
Kuambiwa ukweli ndio chuki?
Mkishindwa kujadili mada mnaanza kusema sijui mnachukiwa,
Ingependeza Sana ungejadili mada husika na sio kuingiza mambo yasiyohitajika.

We levels zako ni post kutoka twitter, mada km hizi huziwezi...
Umeona wanvyojadili mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Acha fix mpigwe sanctions kwa harakati gani?...
 
Kinachoonekana kwenye hiyo ramani kiko tofauti na hali halisi on the ground.. NBY ni kama kijiji kimoja kikuubwa, sawa tu na MBY.
 
Lete data za constriction, transportation na agriculture sectors za 2018/2019 muone jinsi tulivyowatupa kwa mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…