Hayo ndio matunda ya uhuru wa habari, yani mkifanya mambo yenu mnaweka na data na mna post mtakavyo bila ya kufikiria mara mbili...na hutoona mtu akija kuanza kulaumu eti wanatumiwa na mabeberu[emoji1787]Zimeandikwa ukweli mtupu ndio maana hupendi kuzisoma.
Wewe unayeishi kwenye slum na huyu aliyepo serikalini nani anayesema ukweli.Hayo ndio matunda ya uhuru wa habari, yani mkifanya mambo yenu mnaweka na data na mna post mtakavyo bila ya kufikiria mara mbili...na hutoona mtu akija kuanza kulaumu eti wanatumiwa na mabeberu[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina Matumizi mabaya ya wivu hivo.
Kwhyo wewe unamkubali mboweWewe unayeishi kwenye slum na huyu aliyepo serikalini nani anayesema ukweli.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Sina Matumizi mabaya ya wivu hivo.
Kumbe Watu wenye uchumi mzuri bado mnamiliki Guest uchwara!Kwanza kabisa mnaokuja huku wengi ni waganga njaa, mnaishia kwenye vigesti uchwara, mkiondoka mnaamini hiyo ndio Kenya, waulize Watanzania wenye uwezo wa kutalii ambao wameitembelea Kenya vizuri.
Your argument is dumb. Swaziland is completely bordered by South Africa but it is one of the most poorest countries in the world.
Kumbe Watu wenye uchumi mzuri bado mnamiliki Guest uchwara!
Uhuru wa habari ndio unaisababisha njaa?Hayo ndio matunda ya uhuru wa habari, yani mkifanya mambo yenu mnaweka na data na mna post mtakavyo bila ya kufikiria mara mbili...na hutoona mtu akija kuanza kulaumu eti wanatumiwa na mabeberu[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe mwenyekiti wa chama changu hana tatizo na mtu.
Sawa ila punguzeni majivuno Wakenya wenzenu bado wapo kwenye ufukara ulotukuka.Niliwahi kufika pale Mbita aise kama maisha niyale basi hao Ndugu zenu hata Jehanamu wanaweza kuishi! Loh siyo kwa maisha yale!Zipo Marekani pia kule ambako uchumi wao umezidi wenu mara milioni...
Nitajie maeneo ambayo hicho chakula kimegawanyizwa..manake nakisubiria kw sana
Heheee!!wacha niokotweMbowe mwenyekiti wa chama changu hana tatizo na mtu.
Uchumi wetu ni mara mbili yenu halafu unaropokwa bila aibu eti Capitalism imefeli Kenya. Akili za kuku hizi.
Waulize hao viongozi wako walioipongeza Urusi kwa kutoa msaada wa chakula, au hata hicho chakula kimeibiwa na wajanja hakijawafikia wahusika?, kwasababu viongozi wa Kenya kwa ukora, ndio wanaongoza duniani.Nitajie maeneo ambayo hicho chakula kimegawanyizwa..manake nakisubiria kw sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheee!!wacha niokotwe
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1308357
Sent using Jamii Forums mobile app
' ila ninyi mumewapa wazungu wanalima maua na chai'Tatizo lako wewe unatumia reference ya Kenya au Uganda kuwa ndio nchi, kwanini usitumie reference ya Tanzania kuwa ndio nchi na hizo zenu zikawa ni nusu ya nchi?.
Qatar, UAE zinaingia Mara 4 au 5 kwa hapo Kenya, 100% ya ardhi yao ni jangwa, lakini zinawapa misaada ya chakula. Ardhi yenu yenye rutuba ni 20% sawa na eneo la nchi ya Rwanda yote, lakini Rwanda inajitosheleza kwa chakula, ila ninyi mumewapa wazungu wanalima maua na chai, wakati wananchi wa kawaida wanakufa kwa njaa. Hayo madini yetu yangekuwa Kenya, yote yangekuwa chini ya Kenyatta familiy na wanasiasa wachache.
Tatizo la Kenya sio kukosekana kwa rasilimali, ni Sera mbovu za Kibepari, kwamba wachache wenye nguvu kujimilikisha rasilimali zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya kuanzia kesho,yaani 2020 tunaingia katika nchi chache sana Afrika ambazo zina GDP zaidi ya $100 billion. Wacha wajinga waendelee kuropokwa, sisi tunafanya kazi