Dah! Samahani kaka, kwa anduko hili we ni mpumbavu.Ni vyema vyama vya siasa vikawa na uwazi kuhusu michango wanayopokea.
Najiuliza chadema wana hofu gani mpaka wanakusanya fedha kwa siri kubwa sana?
Kikubwa hawajachangiwa na YANGA wala utitiri wa magabacholi.Ni vyema vyama vya siasa vikawa na uwazi kuhusu michango wanayopokea.
Najiuliza chadema wana hofu gani mpaka wanakusanya fedha kwa siri kubwa sana?
KUkichangia chama pinzani Tanzania, maana yake ni kutaka kuitoa ccm madarakani, na hiyo itapelekea chuki kutoka kwa wasiopenda (watawala uchwara). Hautakawia kuletewa kodi zisizoeleweka na TRA hasa ukiwa mfanyabiashara na vikwazo vingine uchwara.Ni vyema vyama vya siasa vikawa na uwazi kuhusu michango wanayopokea.
Najiuliza chadema wana hofu gani mpaka wanakusanya fedha kwa siri kubwa sana?
Ni vyema vyama vya siasa vikawa na uwazi kuhusu michango wanayopokea.
Najiuliza chadema wana hofu gani mpaka wanakusanya fedha kwa siri kubwa sana?