Kwa nini haya magari used yanauzwa bei ndogo sana?

Kwa nini haya magari used yanauzwa bei ndogo sana?

pamoja na kwamba sina gari ila naungana na brother buji kusema passo hamna gari mule [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
kaka passo wametoa new model iyo inaitwa passo settle ina cc 1290 hivyo wameboresha kidogo
1646804742980.png

1646804742980.png
 
Gari nzuri kama walivosema wadau apoo juu ina space ndani
Changamoto yake labda tu mlango wa kushoto nyuma ni rahisi sana kuharibika
kuna bro mmoja nae gari yake inamsumbua sana huo mlango yaonekana ni changamoto kwa gari zote basi
 
Back
Top Bottom