Kwa nini haya magari used yanauzwa bei ndogo sana?

Kwa nini haya magari used yanauzwa bei ndogo sana?

kaka passo wametoa new model iyo inaitwa passo settle ina cc 1290 hivyo wameboresha kidogo View attachment 2144096
View attachment 2144096
Hizi Gari zilitengenezwa pamoja passo na passo settle ila moja ilikubalika sana kimauzo nje na ndani ya soko la japan ...,ila passo haikupokelewa vizuri ..hivyo passo settle ipo kitambo sana sema bongo ni chache sana kutokana na watu kuigana kununua magari

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom