Hizi Gari zilitengenezwa pamoja passo na passo settle ila moja ilikubalika sana kimauzo nje na ndani ya soko la japan ...,ila passo haikupokelewa vizuri ..hivyo passo settle ipo kitambo sana sema bongo ni chache sana kutokana na watu kuigana kununua magari