Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Tanzania mambo ya miaka 1800's na 1900's unaweza kupewa historia moja ina versions(masimulizi) mawili au matatu tofauti kabisa! Kwa nini imekuwa hivi ikiwa inasemekana watu wengi wa pwani tayari walikuwa wanajua kuandika na kusoma enzi hizi?
Ukienda Marekani Chuo kikuu cha Havard kilichoanzishwa mwaka 1636 unapata historia yake iliyonyooka hatua kwa hatua. Bellevue Hospital, ya New York City iliyoanzishwa mwaka 1736 unapata historia yake nukta kwa nukta! Ukienda Uingereza historia ya Chuo kikuu cha Oxford utaipata kuanzia mwaka 1096 ila bongo historia ya 1900's ni utata mtupu!