Kwa nini Historia ya Tanzania kabla ya uhuru ina masimulizi mengi tofauti kwa jambo moja?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Tanzania mambo ya miaka 1800's na 1900's unaweza kupewa historia moja ina versions(masimulizi) mawili au matatu tofauti kabisa! Kwa nini imekuwa hivi ikiwa inasemekana watu wengi wa pwani tayari walikuwa wanajua kuandika na kusoma enzi hizi?



Ukienda Marekani Chuo kikuu cha Havard kilichoanzishwa mwaka 1636 unapata historia yake iliyonyooka hatua kwa hatua. Bellevue Hospital, ya New York City iliyoanzishwa mwaka 1736 unapata historia yake nukta kwa nukta! Ukienda Uingereza historia ya Chuo kikuu cha Oxford utaipata kuanzia mwaka 1096 ila bongo historia ya 1900's ni utata mtupu!
 
🫡
 
Grok kapishana na stori ya maCCM wacha tuone👿
 
Wewe jamaa mambo ya kihistori ,mengi ni butu kabisa ...Ukifuatilia historia utachanganyikiwa..Yule Chionda ana historia zake sijui anatoa wapi🤣🤣
 
Wewe jamaa mambo ya kihistori ,mengi ni butu kabisa ...Ukifuatilia historia utachanganyikiwa..Yule Chionda ana historia zake sijui anatoa wapi🤣🤣
Chionda ana historia nyingi ya ukweli katika mambo ya historia yaliyowahi kutokea kweli(mfano kuhusiana na Ukristo na roman empire pamoja na Uislamu) ila kwenye mambo ya myths za kidini naye anaamini historia za myths kama wengine wengi tu mfano historia za Lilth, mwafrika ndio kiumbe bora n.k
 
Historia ya nchi yetu imeandikwa kwa namna mtu anaona inamnufaisha .... kiufupi tumekwama kuandika historia yetu sisi wenyewe.
 
Historia ya kweli yeye kapata kutoka chanzo gani? kasoma kama wengine tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…