Kwa nini huyu mwanadada kila akiniona huwa anatabasamu kisha anaangalia chini?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Jambo watanzania
Iko hivi,kuna office moja ya umma nafuatilia huduma flani flani,sasa bana toka day one nafuatilia ile huduma kuna bibie mmoja tulikutanisha macho yetu,sasa wakati niko kwenye kiti nasubiri zamu yangu ifike akatokea incharge wao akatuambia wengine tuelekee kwenye dirisha ambalo yule bibie yupo,basi ilivyofika zamu yangu nikaenda pale nikamueleza shida yangu akanihudumia,sasa wakati ananihudumia akawa ananiangalia ile kwa jicho la wizi huku anatabasamu,me nikavunja ukimya nikamuuliza tushawahi kuonana wapi,akaniambia hana uhakika kama tushawahi kuonana popote,anyway juzi tena nimeenda ofisini kwao,akaniona kwa mbali akanipungia kisha akatabasamu tu.sasa kilichonisukuma kuandika huu uzi ni jana nimeona number mpya inanipigia kupokea ni yule bibie,akajitambulisha jina lake akaniambia number yangu kaipata kwenye system yao ya ofisini na lengo la kunipigia ni kunipa mrejesho kuhusu huduma yangu ninayoifuatilia hapo ofisini kwao,dada anaongea kiupole sana na mwisho akaniambia hiyo ni number yangu isave incase of anything.
Oya hii mali iko vizuri ina rangi ya mtume,ina tumakebo twa uchokozi flani hivi,nafikiria nikishafanikisha huduma ninayoifuatilia ofisini kwao nianze mchakato wa kuipiga sound hii mali,ila wasiwasi wangu ni hii mali inavyoniona afu inatabasamu imenielewa au inatabasamu kwamba sura yangu inachekesha?
 
Unaonekana huna ela maana tongoza yako ya wasiwasi
 
Attachments

  • downloadfile-20.jpg
    downloadfile-20.jpg
    70.4 KB · Views: 15
Unaweza kukuta mleta mada na yeye siku alipozaliwa,wazazi wake walifurahi sana mpaka wakafanya na sherehe!
 
Jambo watanzania
Iko hivi,kuna office moja ya umma nafuatilia huduma flani flani,sasa bana toka day one nafuatilia ile huduma kuna bibie mmoja tulikutanisha macho yetu,sasa wakati niko kwenye kiti nasubiri zamu yangu ifike akatokea incharge wao akatuambia wengine tuelekee kwenye dirisha ambalo yule bibie yupo,basi ilivyofika zamu yangu nikaenda pale nikamueleza shida yangu akanihudumia,sasa wakati ananihudumia akawa ananiangalia ile kwa jicho la wizi huku anatabasamu,me nikavunja ukimya nikamuuliza tushawahi kuonana wapi,akaniambia hana uhakika kama tushawahi kuonana popote,anyway juzi tena nimeenda ofisini kwao,akaniona kwa mbali akanipungia kisha akatabasamu tu.sasa kilichonisukuma kuandika huu uzi ni jana nimeona number mpya inanipigia kupokea ni yule bibie,akajitambulisha jina lake akaniambia number yangu kaipata kwenye system yao ya ofisini na lengo la kunipigia ni kunipa mrejesho kuhusu huduma yangu ninayoifuatilia hapo ofisini kwao,dada anaongea kiupole sana na mwisho akaniambia hiyo ni number yangu isave incase of anything.
Oya hii mali iko vizuri ina rangi ya mtume,ina tumakebo twa uchokozi flani hivi,nafikiria nikishafanikisha huduma ninayoifuatilia ofisini kwao nianze mchakato wa kuipiga sound hii mali,ila wasiwasi wangu ni hii mali inavyoniona afu inatabasamu imenielewa au inatabasamu kwamba sura yangu inachekesha?
Watz wengi wakioneshwa ukarimu na watoa huduma wanahisi kuna haja ya kutongozana.
 
Back
Top Bottom