The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Sawa mzee wa Chai,Ndio walifanya sherehe.kwani wewe tu ndio unadhani una umuhimu katika hii dunia?
Endelea kutunywesha chai ya rangi
Sawa mzee wa Chai,Ndio walifanya sherehe.kwani wewe tu ndio unadhani una umuhimu katika hii dunia?
hahahhahhaUnaweza kukuta mleta mada na yeye siku alipozaliwa,wazazi wake walifurahi sana mpaka wakafanya na sherehe!
Labda wamezoea kuhudumiwa huku wamekunjiwa sura.Watz wengi wakioneshwa ukarimu na watoa huduma wanahisi kuna haja ya kutongozana.