Kwa nini jeshi la mtandaoni la JPM waliacha kusapoti awamu ya sita ya mama?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti accounts au nyuzi zifungiwe au ziondolewe na wanatishia watu ikibidi.

Jina la buku saba lilianzia kipindi hiko, sijui kama kweli walikuwa wanalipwa au hawailipwi ila walikuwa wanafanya kazi kwa kushambulia kama Nyuki. Alipoingia tu mama wote waliendelea kwa miezi michache ila wakaanza kupukutika kwa kasi sana, nusu wakigeuka wapinzani na nusu wakipotea kabisa jukwaani.

Sasa hivi akaunti za enzi za JPM zinazosapoti utawala wa mama hapa JF hazizidi hata tano zikiasiadiana na akaunti nyingine activu mbili tatu ingizo jipya ambazo hazina vibe, machachari na ile amshamsha kama enzi za JPM.
 
Kazi ya JPM ilikuwa Inaonekana!
 
Jina la buku7 lilianza kipindi Nape akiwa Mwenezi ambacho ni kipindi cha Kikwete
 
Kuna braza wangu alikuja toka kwa malkia kipindi cha JPM, alishangaa sana.
Customer services kwenye taasisi, mashirika na wizara za serikali zilikuwa zinafanya kazi kama wazalendo!
Polisi na usalama kwa raia ulikuwa Bomba. Hakuna kutishana wala kuoneana. Akakiri kuwabana mafisadi, mikataba mibovu ya rasilimali na maliasili ya nchi yaweza kutuondolea UMASKINI WANYONGE! Wakati anaondoka akakiri JPM katuweza na akazidi kudai tumpe nchi JPM miaka yote mpaka achoke au afe!
 
Tuna deni la trion 114 miradi ya pesa zilizokopwa hatuzion unamteteaje huyu mama ! Ukiamka asubuhi ukifungua media unasikia mtu kanyakuliwa kama mwewe vilio kila kona watu wakiwatafuta ndugu zao bila majibu ! Kazi ya kumtetea huyu mama ni ngumu lucas mwashamba ndiye anaiweza
 
Itakua si wanufaika wa utawala uliopo,hata chawa wa sasa,mirija yao ya neema ikifungwa utowaona,wengi uwa awaangalii future ya vizazi vijavyo kwenye uchawa wao,wanaangalia tu wanapata nini kwa wakati uliopo
 
Back
Top Bottom