Kwa nini jeshi la mtandaoni la JPM waliacha kusapoti awamu ya sita ya mama?

Kusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti accounts au nyuzi zifungiwe au ziondolewe na wanatishia watu ikibidi.

Jina la buku saba lilianzia kipindi hiko, sijui kama kweli walikuwa wanalipwa au hawailipwi ila walikuwa wanafanya kazi kwa kushambulia kama Nyuki. Alipoingia tu mama wote waliendelea kwa miezi michache ila wakaanza kupukutika kwa kasi sana, nusu wakigeuka wapinzani na nusu wakipotea kabisa jukwaani.

Sasa hivi akaunti za enzi za JPM zinazosapoti utawala wa mama hapa JF hazizidi hata tano zikiasiadiana na akaunti nyingine activu mbili tatu ingizo jipya ambazo hazina vibe, machachari na ile amshamsha kama enzi za JPM.

kavulata Mudawote @
 
Kuna watu waliomuunga mkono na kumtetea JPM kwa kazi zake. Mimi mmojawapo.
Nilikuwa mfuasi au shabiki wa CHADEMA nikachukizwa na kitendo cha CHADEMA kubadili gia angani na kumpitisha Lowassa kuwa mgombea uraisi.
Wakaanza kutetea mafisadi.

Nilimtetea na nitamtetea JPM hadi kesho bure kabisa.
Sijawai kuwa mwanasiasa au kuajiriwa na serikali au chama chochote.
Siyo mtu wa Kanda ya Ziwa, Mimi muumini wa ujamaa ila siyo extreme socialism au communism.
Naipenda nchi yangu kupita maelezo, napenda uadilifu na uchapa kazi.
 
Kuna watu waliomuunga mkono na kumtetea JPM kwa kazi zake. Mimi mmojawapo.
Nilikuwa mfuasi au shabiki wa CHADEMA nikachukizwa na kitendo Cha CHADEMA kubadili gia ngani na kumpitisha Lowassa kuwa mgombea uraisi.
Wakaanza kutetea mafisadi.

Nilimtetea na nitamtetea JPM Hadi kesho bure kabisa.
Sijawai kuwa mwanasiasa au kuajiriwa wa serikali au chama chochote.

Kitu gani mama amefanya tofauti sana na JPM?
 
Kusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti accounts au nyuzi zifungiwe au ziondolewe na wanatishia watu ikibidi.

Jina la buku saba lilianzia kipindi hiko, sijui kama kweli walikuwa wanalipwa au hawailipwi ila walikuwa wanafanya kazi kwa kushambulia kama Nyuki. Alipoingia tu mama wote waliendelea kwa miezi michache ila wakaanza kupukutika kwa kasi sana, nusu wakigeuka wapinzani na nusu wakipotea kabisa jukwaani.

Sasa hivi akaunti za enzi za JPM zinazosapoti utawala wa mama hapa JF hazizidi hata tano zikiasiadiana na akaunti nyingine activu mbili tatu ingizo jipya ambazo hazina vibe, machachari na ile amshamsha kama enzi za JPM.
Awamu ya 6 pia ina kikosi chake hapa JF na wanatumia pia VPN japo kisheria hairuhusiwi.
 
Kikosi cha awamu ya sita kidogo sana, sio kipana kama cha awamu ya tano.
Dah!...Kuna ID baada ya JPM kuondoka na zenyewe zilipotea kabisa na Kuna nyingine mpya ziliibuka kwa Kasi baada ya awamu ya 6 kuingia (Huenda ni watu walewale tu walibadili utambulisho).

Anyway waswahili wanasema 'Kila Masika ina Mbu wake'...
 
Kusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti accounts au nyuzi zifungiwe au ziondolewe na wanatishia watu ikibidi.

Jina la buku saba lilianzia kipindi hiko, sijui kama kweli walikuwa wanalipwa au hawailipwi ila walikuwa wanafanya kazi kwa kushambulia kama Nyuki. Alipoingia tu mama wote waliendelea kwa miezi michache ila wakaanza kupukutika kwa kasi sana, nusu wakigeuka wapinzani na nusu wakipotea kabisa jukwaani.

Sasa hivi akaunti za enzi za JPM zinazosapoti utawala wa mama hapa JF hazizidi hata tano zikiasiadiana na akaunti nyingine activu mbili tatu ingizo jipya ambazo hazina vibe, machachari na ile amshamsha kama enzi za JPM.
Wengi walikuwa wateule wake madisi na madasi hao ndiyo lisilo na kazi ofisini kazi yao ilikuwa ni hiyo tu.
 
JPM alikubalika sana na raia wa kipato cha chini huo ndio ukweli.
Sio mitandaoni tu hata mtaani kwakuwa aliwabana matajiri.
Kipi kilimfanya apore uchaguzi?
Dah!...Kuna ID baada ya JPM kuondoka na zenyewe zilipotea kabisa na Kuna nyingine mpya ziliibuka kwa Kasi baada ya awamu ya 6 kuingia (Huenda ni watu walewale tu walibadili utambulisho).

Anyway waswahili wanasema 'Kila Masika ina Mbu wake'...
Nyingine zilikuwa za JPM mwenyewe
 
Kuna watu waliomuunga mkono na kumtetea JPM kwa kazi zake. Mimi mmojawapo.
Nilikuwa mfuasi au shabiki wa CHADEMA nikachukizwa na kitendo Cha CHADEMA kubadili gia ngani na kumpitisha Lowassa kuwa mgombea uraisi.
Wakaanza kutetea mafisadi.

Nilimtetea na nitamtetea JPM Hadi kesho bure kabisa.
Sijawai kuwa mwanasiasa au kuajiriwa wa serikali au chama chochote.
Siyo mtu wa Kanda ya Ziwa, Mimi muumini wa ujamaa ila siyo extreme socialism au communism.
Naipenda nchi yangu kupita maelezo, napenda uadilifu na uchapa kazi.

Nimeipenda hii​

Kitu gani mama amefanya tofauti na JPM?
Unauliza?
Nenda hospital kama utakuta dawa.
Hadi kadi ya clinic wajawazito na ya watoto inalipiwa.
Vidonge vilivyokuwa vya bure vya wajawazito vya madini chuma kuvipata sasa mtihani.
Mbolea hakuna.
Maji tatizo.
Huduma ofisini za umma mbovu.
Rushwa imekithiri.
Peleka shule za umma mtoto wako uone hiyo michango na waalimu hawafundishi hawaogopi mtu au taasisi yeyote. Wanaogopa kuigomea CCM kusaidia kuiba kura tu.
Balaa lililopo CRDB ngoja nisiseme nitawaharibia biashara.
Maliasili zinavyo hujumiwa kila mtu anajua.
Watu 500 wameuwawa siku tatu na maiti zingine hazionekani wakati mitaani vilikuwepo vyombo vya dola tu. Sasa kaziiba nani maiti?
Barabara kuu (highway roads) nyingi sasa hivi mbovu na ukarabati haufanyiki. 'Potholes' za kutosha.

Unajua sababu ya abiria wa ATCL kukwama Mwanza masaa mengi hadi mwanahabari Zungu kutukana?
Ungejua ungeona aibu wewe. Mimi siisemi nisije nikapotea nina watoto wadogo bado.
Hiyo sababu ndiyo ilisababisha shirika hilo miaka mingi lishindwe kujiendesha kibiashara na kushindwa ushindani wa kibiashara sokoni.
Hayo machache lakini yapo mengi mno. Bado suala la madeni na uwiano wa matumizi ya hiyo mikopo.
Angalia fungu la bajeti kwa ajili ya safari za watumishi wa serikali utaona maajabu.
 
Mimi nilimtetea JPM bila kificho iwe kwenye majukwaa ama kwenye minadala ya wazi wazi...Sioni aibu kuhusu hilo na sikuwahi kulipwa hata senti moja kwa kufanya hivyo.
Niseme tuu I am a great admirer of the man called JPM...and I will forever.
 
Unauliza?
Nenda hospital kama utakuta dawa.
Hadi kadi ya clinic wajawazito na ya watoto inakioiwa.
Mbolea hakuna.
Maji tatizo.
Huduma ofisini za umma mbovu.
Rushwa imekithiri.
Balaa lililopo CRDB ngoja nisiseme nitawaharibia biashara.
Maliasili zinavyo hujumiwa kila mtu anajua.
Watu 500 wameuwawa siku tatu na maiti zingine hazionekani wakati mitaani vilikuwepo vyombo vya dola tu. Sasa kaziiba nani maiti?
Barabara kuu (highway roads) nyingi sasa hivi mbovu na ukarabati haufanyiki. 'Potholes' za kutosha.

Unajua sababu ya abiria wa ATCL kukwama Mwanza masaa mengi hadi mwanahabari Zungu kutukana?
Ungejua ungeona aibu wewe. Mimi siisemi nisije nikapotea nina watoto wadogo bado.
Hiyo sababu ndiyo ilisababisha shirika hilo miaka mingi lishindwe kujiendesha kibiashara na kushindwa ushindani wa kibiashara sokoni.
Hayo machache lakini yapo mengi mno. Bado suala la madeni na uwiano wa matumizi ya hiyo mikopo.
Angalia fungu la bajeti kwa ajili ya safari za watumishi wa serikali utaona maajabu.
Mengi hapa anaweza kukujibu ChoiceVariable mtetezi mkuu wa mama ila nitukajibu machache.

Usafiri wa anga ulikuwa bora zaidi wakati wa JK, JPM alipokuja kuiua FastJest na kupambana na Precision alivuruga sana usafiri wa anga, alichotakiwa yeye kufanya ni kujenga viwanja zaidi vya ndege ila sio kulazimisha ATCL kupata biashara dhidi ya sekta binafsi.

Hospital upatikanaji wa dawa hauna tofauti na wakati wa JPM,

Kadi za wajawazito kulipiwa ni sawa tu, kama unazaa lazima ushiriki kubeba gharama. Hata elimu ilitakiwa kuchangia, sikubaliani na elimu bure.

Mauaji ya October 29 ni matokeo ya siasa za kuharibu uchaguzi wote na kulazimisha utawala wa chama kimoja tu cha CCM alizozianzisha mwendazake JPM kuanzia 2019 na 2020 na zikaendelezwa na mama 2024 na 2025.
 
Mimi nilimtetea JPM bila kificho iwe kwenye majukwaa ama kwenye minadala ya wazi wazi...Sioni aibu kuhusu hilo na sikuwahi kulipwa hata senti moja kwa kufanya hivyo.
Niseme tuu I am a great admirer of the man called JPM...and I will forever.
Tupo wengi wa mfano wako.
 
Back
Top Bottom