Kazi ya JPM ilikuwa Inaonekana!Kusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti accounts au nyuzi zifungiwe au ziondolewe na wanatishia watu ikibidi.
Jina la buku saba lilianzia kipindi hiko, sijui kama kweli walikuwa wanalipwa au hawailipwi ila walikuwa wanafanya kazi kwa kushambulia kama Nyuki. Alipoingia tu mama wote waliendelea kwa miezi michache ila wakaanza kupukutika kwa kasi sana, nusu wakigeuka wapinzani na nusu wakipotea kabisa jukwaani.
Sasa hivi akaunti za enzi za JPM zinazosapoti utawala wa mama hapa JF hazizidi hata tano zikiasiadiana na akaunti nyingine activu mbili tatu ingizo jipya ambazo hazina vibe, machachari na ile amshamsha kama enzi za JPM.
Jina la buku7 lilianza kipindi Nape akiwa Mwenezi ambacho ni kipindi cha KikweteKusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti accounts au nyuzi zifungiwe au ziondolewe na wanatishia watu ikibidi.
Jina la buku saba lilianzia kipindi hiko, sijui kama kweli walikuwa wanalipwa au hawailipwi ila walikuwa wanafanya kazi kwa kushambulia kama Nyuki. Alipoingia tu mama wote waliendelea kwa miezi michache ila wakaanza kupukutika kwa kasi sana, nusu wakigeuka wapinzani na nusu wakipotea kabisa jukwaani.
Sasa hivi akaunti za enzi za JPM zinazosapoti utawala wa mama hapa JF hazizidi hata tano zikiasiadiana na akaunti nyingine activu mbili tatu ingizo jipya ambazo hazina vibe, machachari na ile amshamsha kama enzi za JPM.
anakubalika na matajiri na matajiri huwa hawanaga muda na kusifia sifia, kwao muda ni rasilimali adimu.JPM alikubalika sana na raia wa kipato cha chini huo ndio ukweli.
Sio mitandaoni tu hata mtaani kwakuwa aliwabana matajiri.
Ilianza wakati ule Nape Nnauye akiwa mwenezi wa CCM na yeye pia alikuwa akipiga soga humu.Buku saba haikuanza kipindi cha JPM
Mwamba Kama umetoboa na huo ujila wa buku 7 fc heshima kwako mwamba unajua kumekiTushatoboa tushatajirika tuko busy na biashara nyingine