Mwana parokia
JF-Expert Member
- Sep 27, 2023
- 1,193
- 2,066
Kusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti accounts au nyuzi zifungiwe au ziondolewe na wanatishia watu ikibidi.
Jina la buku saba lilianzia kipindi hiko, sijui kama kweli walikuwa wanalipwa au hawailipwi ila walikuwa wanafanya kazi kwa kushambulia kama Nyuki. Alipoingia tu mama wote waliendelea kwa miezi michache ila wakaanza kupukutika kwa kasi sana, nusu wakigeuka wapinzani na nusu wakipotea kabisa jukwaani.
Sasa hivi akaunti za enzi za JPM zinazosapoti utawala wa mama hapa JF hazizidi hata tano zikiasiadiana na akaunti nyingine activu mbili tatu ingizo jipya ambazo hazina vibe, machachari na ile amshamsha kama enzi za JPM.
Yeah enzi za JKIlianza wakati ule Nape Nnauye akiwa mwenezi wa CCM na yeye pia alikuwa akipiga soga humu.
Kitu gani mama amefanya tofauti sana na JPM?Kuna watu waliomuunga mkono na kumtetea JPM kwa kazi zake. Mimi mmojawapo.
Nilikuwa mfuasi au shabiki wa CHADEMA nikachukizwa na kitendo Cha CHADEMA kubadili gia ngani na kumpitisha Lowassa kuwa mgombea uraisi.
Wakaanza kutetea mafisadi.
Nilimtetea na nitamtetea JPM Hadi kesho bure kabisa.
Sijawai kuwa mwanasiasa au kuajiriwa wa serikali au chama chochote.
Siyo mtu wa Kanda ya Ziwa, Mimi muumini wa ujamaa ila siyo extreme socialism au communism.
Naipenda nchi yangu kupita maelezo, napenda uadilifu na uchapa kazi.
Awamu ya 6 pia ina kikosi chake hapa JF na wanatumia pia VPN japo kisheria hairuhusiwi.Kusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti accounts au nyuzi zifungiwe au ziondolewe na wanatishia watu ikibidi.
Jina la buku saba lilianzia kipindi hiko, sijui kama kweli walikuwa wanalipwa au hawailipwi ila walikuwa wanafanya kazi kwa kushambulia kama Nyuki. Alipoingia tu mama wote waliendelea kwa miezi michache ila wakaanza kupukutika kwa kasi sana, nusu wakigeuka wapinzani na nusu wakipotea kabisa jukwaani.
Sasa hivi akaunti za enzi za JPM zinazosapoti utawala wa mama hapa JF hazizidi hata tano zikiasiadiana na akaunti nyingine activu mbili tatu ingizo jipya ambazo hazina vibe, machachari na ile amshamsha kama enzi za JPM.
Dah!...Kuna ID baada ya JPM kuondoka na zenyewe zilipotea kabisa na Kuna nyingine mpya ziliibuka kwa Kasi baada ya awamu ya 6 kuingia (Huenda ni watu walewale tu walibadili utambulisho).Kikosi cha awamu ya sita kidogo sana, sio kipana kama cha awamu ya tano.
Wengi walikuwa wateule wake madisi na madasi hao ndiyo lisilo na kazi ofisini kazi yao ilikuwa ni hiyo tu.Kusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti accounts au nyuzi zifungiwe au ziondolewe na wanatishia watu ikibidi.
Jina la buku saba lilianzia kipindi hiko, sijui kama kweli walikuwa wanalipwa au hawailipwi ila walikuwa wanafanya kazi kwa kushambulia kama Nyuki. Alipoingia tu mama wote waliendelea kwa miezi michache ila wakaanza kupukutika kwa kasi sana, nusu wakigeuka wapinzani na nusu wakipotea kabisa jukwaani.
Sasa hivi akaunti za enzi za JPM zinazosapoti utawala wa mama hapa JF hazizidi hata tano zikiasiadiana na akaunti nyingine activu mbili tatu ingizo jipya ambazo hazina vibe, machachari na ile amshamsha kama enzi za JPM.
Kipi kilimfanya apore uchaguzi?JPM alikubalika sana na raia wa kipato cha chini huo ndio ukweli.
Sio mitandaoni tu hata mtaani kwakuwa aliwabana matajiri.
Nyingine zilikuwa za JPM mwenyeweDah!...Kuna ID baada ya JPM kuondoka na zenyewe zilipotea kabisa na Kuna nyingine mpya ziliibuka kwa Kasi baada ya awamu ya 6 kuingia (Huenda ni watu walewale tu walibadili utambulisho).
Anyway waswahili wanasema 'Kila Masika ina Mbu wake'...
... piga picha vurugu alizofanyiwa Samia ndo angefanyiwa JPM! ... HAIELEZEKI MAANA JAMAA ALIWEKA WAZI ZAIDI .............!Hata enzi za JPM mauaji au majaribio ya mauaji ya Watanganyika yalikuwepo sana tu.
Kuna watu waliomuunga mkono na kumtetea JPM kwa kazi zake. Mimi mmojawapo.
Nilikuwa mfuasi au shabiki wa CHADEMA nikachukizwa na kitendo Cha CHADEMA kubadili gia ngani na kumpitisha Lowassa kuwa mgombea uraisi.
Wakaanza kutetea mafisadi.
Nilimtetea na nitamtetea JPM Hadi kesho bure kabisa.
Sijawai kuwa mwanasiasa au kuajiriwa wa serikali au chama chochote.
Siyo mtu wa Kanda ya Ziwa, Mimi muumini wa ujamaa ila siyo extreme socialism au communism.
Naipenda nchi yangu kupita maelezo, napenda uadilifu na uchapa kazi.
Unauliza?Kitu gani mama amefanya tofauti na JPM?
Mengi hapa anaweza kukujibu ChoiceVariable mtetezi mkuu wa mama ila nitukajibu machache.Unauliza?
Nenda hospital kama utakuta dawa.
Hadi kadi ya clinic wajawazito na ya watoto inakioiwa.
Mbolea hakuna.
Maji tatizo.
Huduma ofisini za umma mbovu.
Rushwa imekithiri.
Balaa lililopo CRDB ngoja nisiseme nitawaharibia biashara.
Maliasili zinavyo hujumiwa kila mtu anajua.
Watu 500 wameuwawa siku tatu na maiti zingine hazionekani wakati mitaani vilikuwepo vyombo vya dola tu. Sasa kaziiba nani maiti?
Barabara kuu (highway roads) nyingi sasa hivi mbovu na ukarabati haufanyiki. 'Potholes' za kutosha.
Unajua sababu ya abiria wa ATCL kukwama Mwanza masaa mengi hadi mwanahabari Zungu kutukana?
Ungejua ungeona aibu wewe. Mimi siisemi nisije nikapotea nina watoto wadogo bado.
Hiyo sababu ndiyo ilisababisha shirika hilo miaka mingi lishindwe kujiendesha kibiashara na kushindwa ushindani wa kibiashara sokoni.
Hayo machache lakini yapo mengi mno. Bado suala la madeni na uwiano wa matumizi ya hiyo mikopo.
Angalia fungu la bajeti kwa ajili ya safari za watumishi wa serikali utaona maajabu.
Tupo wengi wa mfano wako.Mimi nilimtetea JPM bila kificho iwe kwenye majukwaa ama kwenye minadala ya wazi wazi...Sioni aibu kuhusu hilo na sikuwahi kulipwa hata senti moja kwa kufanya hivyo.
Niseme tuu I am a great admirer of the man called JPM...and I will forever.