Kwa nini Josephine Mushumbusi na mwenzake Lissu hawaonekani mahakamani katika kesi ya Dk Slaa?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.

Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..

May be kiapo cha useja ndio kimemkamata uzeeni
 
Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala motto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.

Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..

May be kiapo cha useja ndio kimemkamata uzeeni
kwani huyo mushumbusi bado ni mkewe?
 
Waende mahakamani kufuata nini, unadhani kila mtu ana muda wa kupoteza kwenye hizo mahakama kibogoyo? Nyie mfungeni kama mlivyopanga, lakini kutegemea kuna watu wataenda kupoteza muda kwenye kesi za kubambikia mmeukalia.
 
Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.

Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..

May be kiapo cha useja ndio kimemkamata uzeeni
Nimeona watoto wake 2 wa kike jana, wameenda kuongea nae.
 
Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.

Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..

May be kiapo cha useja ndio kimemkamata uzeeni
Kwani wale mawakili kina Peter Madeleka hujawaona?😂😂😂jinga kweli wewe
 
Mambo haya mzee apumzike sasa,na angepumzika vizuri tu kwa heshima ya balozi mstaafu akala pensheni yake.
Kaenda kuwakera wanaomlipa tena.
Mufwumbusi anataka hela sio hadithi hadithi.
We fungwa,kufa,kaloge lete hela hapa amkatie katetero azime.
 
Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.

Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..

May be kiapo cha useja ndio kimemkamata uzeeni
sasa wewe si uwe mke wake uende ukamuone mahakamani kwani kuna ugumu gani?!
 
Waende mahakamani kufuata nini, unadhani kila mtu ana muda wa kupoteza kwenye hizo mahakama kibogoyo? Nyie mfungeni kama mlivyopanga, lakini kutegemea kuna watu wataenda kupoteza muda kwenye kesi za kubambikia mmeukalia.
Alikuwa mpumbavu na kujipendekeza Hadi kushabikia watu wasio na Msaada kwake? 😂😂

Hata Lema anaedai kumrudisha haonekani
 
Kuna jamaa alileta uzi kuwa kukamatwa kwa Silaa ulikuwa ni mtego kw Lisu ili akimpambania wanamuweka ndani Lisu mpaka uchaguzi uishe.

Sasa ule mtego bado upo au vipi?

Ila binafsi naona Lisu hataki kujihusisha na Slaa labda kuna kitu anakifahamu kuhusu Slaa na kukamatwa kwake. Lakini pia je, Slaa alikuwa mwanachama wa CHADEMA mpaka Lisu atake risk ya kumpambania wakati akijiandaa na mapambano makubwa?

Lakini pia, kama mwenyekiti ni sahihi kuendelea kufanya kazi ya uwakili moja kwa moja au kutuma watu huku akiwapa ushauri?
 
Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.

Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..

May be kiapo cha useja ndio kimemkamata uzeeni
kuna jambo nyuma ya pazia labdah
 
Mambo haya mzee apumzike sasa,na angepumzika vizuri tu kwa heshima ya balozi mstaafu akala pensheni yake.
Kaenda kuwakera wanaomlipa tena.
Mufwumbusi anataka hela sio hadithi hadithi.
We fungwa,kufa,kaloge lete hela hapa amkatie katetero azime.
Nimecheka balaa
 
Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.

Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..

May be kiapo cha useja ndio kimemkamata uzeeni
Kwani waliomuapisha kuwa balozi wanaonekana hapo mahakamani?
 
Back
Top Bottom