Kwa nini Josephine Mushumbusi na mwenzake Lissu hawaonekani mahakamani katika kesi ya Dk Slaa?

Kwa nini Josephine Mushumbusi na mwenzake Lissu hawaonekani mahakamani katika kesi ya Dk Slaa?

Wanawake wa kihaya kwa kujiongeza huenda ameshaolewa Sweden huyu, na huu ndiyo ujinga wa wanawake wa kihaya, akishakutana na mshomile mwenzake Fahamu umekwisha
 
Mkishamuona nyie mliombambikia kesi mnatosha.
Typical tabia za usaliti za wabongo.Nyie ndio mumemsaliti na Mbowe.

Sasa subirieni show siku mkiitisha maandamano haya haya ndio yatawakuta 😂😂
 
Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.

Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..

May be kiapo cha useja ndio kimemkamata uzeeni
Dr ametukana tusi gani ? Hebu tujuze maana sisi wengine hatujui
 
Back
Top Bottom