kwani huyo mushumbusi bado ni mkewe?Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala motto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.
Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..
May be kiapo cha useja ndio kimemkamata uzeeni
Nimeona watoto wake 2 wa kike jana, wameenda kuongea nae.Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.
Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..
May be kiapo cha useja ndio kimemkamata uzeeni
Kwani wale mawakili kina Peter Madeleka hujawaona?😂😂😂jinga kweli weweNajiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.
Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..
May be kiapo cha useja ndio kimemkamata uzeeni
sasa wewe si uwe mke wake uende ukamuone mahakamani kwani kuna ugumu gani?!Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.
Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..
May be kiapo cha useja ndio kimemkamata uzeeni
Hajawahi kuwa mkewe waliishi kichumbakwani huyo mushumbusi bado ni mkewe?
Alikuwa mpumbavu na kujipendekeza Hadi kushabikia watu wasio na Msaada kwake? 😂😂Waende mahakamani kufuata nini, unadhani kila mtu ana muda wa kupoteza kwenye hizo mahakama kibogoyo? Nyie mfungeni kama mlivyopanga, lakini kutegemea kuna watu wataenda kupoteza muda kwenye kesi za kubambikia mmeukalia.
kuna jambo nyuma ya pazia labdahNajiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.
Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..
May be kiapo cha useja ndio kimemkamata uzeeni
Nimecheka balaaMambo haya mzee apumzike sasa,na angepumzika vizuri tu kwa heshima ya balozi mstaafu akala pensheni yake.
Kaenda kuwakera wanaomlipa tena.
Mufwumbusi anataka hela sio hadithi hadithi.
We fungwa,kufa,kaloge lete hela hapa amkatie katetero azime.
Kwani waliomuapisha kuwa balozi wanaonekana hapo mahakamani?Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.
Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..
May be kiapo cha useja ndio kimemkamata uzeeni