Kwa nini kila mwanamke mweupe anaitwa binti mzuri mrembo lakini si kila mweusi anaitwa mzuri

Kwa nini kila mwanamke mweupe anaitwa binti mzuri mrembo lakini si kila mweusi anaitwa mzuri

sisi wakina-ngosha ukweli tushaujua toka zamani kwamba msichana mweupe ni mzuri.

leo nyie ndio munauona mwenzi, hehehe! poleni sana.
 
Si kweli unachosema!Kwa hiyo kila MZUNGU demu anaitwa mzuri?

Mtaani kwetu kuna msichana anaitwa Lizzy mweupeeeee lkn mbaya kweli kweli na wote hapa tunajua ni mbaya

Itakuwa tuko mtaa mmoja aisee manake mi pia mtaani kwetu yupo Lizzy Mbayaaa
 
Wazungu WOTE si weupe?Ina maana wote ni wazuri?Chinese,Japanese,Latina?Hawa wote si weupe jamani na wote ni wazuri?

Rihanna mweupe?Jokate mweupe?
 
mind mistake ya kujiaminisha but mara zote mwanamke mweusi hubarikwa kuanzia sura body nahata muonekano tatizo hawajisamin haswa hawa wa huku kwet uswihilin ndio kikwaz cha samaki mmoja akioza bas tupa kapu wanawake weusi na wahusudu sana tatizo wachache
 
Wazungu WOTE si weupe?Ina maana wote ni wazuri?Chinese,Japanese,Latina?Hawa wote si weupe jamani na wote ni wazuri?

Rihanna mweupe?Jokate mweupe?

unamzungua rihana kabla ya kujichubua au sasa baada ya kujichubua?
 
Wapo wadada weusi lakini ni warembo balaa,nawajua hata kwetu wapo ila hata hapa JF wapo

cc.miss neddy
 
...mmmh.. Kwani kuna utafiti wa kuthibitisha hili? Japo kwa mimi nipo kinyume na mtazamo huu wa mleta uzi. Nimeona wengi wenye rangi hiyo wana kile kitu wenzetu wanaita "attitude problem" .Kautafiti nilikokafanya kuanzia kwa ndugu, rafiki na jamaa kimenidhibitishia hivyo. Unaweza kufanya utafiti rahisi tu eneo lako la kazi, angalia tabia ya wadada ambao ni "naturally light skinned" na wale wenye sura nyeusi, utaona kuna tofauti kubwa...(Mawazo yangu!):confused3:
 
Uzuri wa nyumba si rangi...fungua mlango uingie ndani yawezekani ni mbovu inavuja mpaka ma......
 
Naweza kusema weupe ni hisia ya mshangao kwa kuwa wengi wetu ni weusi ,ni sawa na mweusi anavyopendwa ulaya kwa weusi wake au wasukuma wengi wao ni weusi wanavyothamini mwanamke mweupe,this is just VISUALIZATION , and what determine the impact of visualization is the amount of emotion that you combine with the picture when you hold it in your conscious mind for reception by your subconscious mind . the more emotion with which you visualize the faster visualization will emerge in your reality. ndiyo maana hata CCM wanajiona ni bora kuliko CDM only kwa visualization .
 
Back
Top Bottom