Sawa Moderator nimefuta
Sawa Moderator nimefuta
Tatizo la Iran kaweka mbele mdomo usio na msaada kwake, unatengeneza nyuklia kisha unatangaza kabisa lengo lako ni kuifuta Israel. Hata mimi ningekuwa Israel ningepiga counter attackIran imeshambuliwa kwa sababu ya Nyuklia si ndivyo ?
Wadau kwa nini huyu Kim wa Korea Kaskazini na utawala wake hawa shambuliwi kwa kuwa na silaha za Kinyuklia kama anavyo hisia Iran kutaka kuwa nazo hizo silaha japo haijathibitika mpaka sasa kama anazo
Histolia ya kuwa na Nuclear:
1. North Korea hajawahi tishia kuifuta nchi yoyote duniani, Iran inatishia kuifuta Israel na hata doctrine zake zinaonyesha hivyo na matamshi ya viongozi wake mbalimbali.Wadau kwa nini huyu Kim wa Korea Kaskazini na utawala wake hawa shambuliwi kwa kuwa na silaha za Kinyuklia kama anavyo hisia Iran kutaka kuwa nazo hizo silaha japo haijathibitika mpaka sasa kama anazo
Ni kama TLP vile, CCM haina mpango na TLP hata watukane vipi. Ila watukane CDM ndio hivyohivyo. N Korea hana madhara.Wadau kwa nini huyu Kim wa Korea Kaskazini na utawala wake hawa shambuliwi kwa kuwa na silaha za Kinyuklia kama anavyo hisia Iran kutaka kuwa nazo hizo silaha japo haijathibitika mpaka sasa kama anazo
Kipindi hicho marekani alikuwa anamsaidia South KoreaIlipo shambuliwa na marekani na washirika wake 1950-1953 ilikuwa na rasilimali gani ?
Mosi North Korea ipo Mpaka wa China na Urusi ma Giant wawili, involvement yoyote ya West hapo hao wawili wata react.Wadau kwa nini huyu Kim wa Korea Kaskazini na utawala wake hawa shambuliwi kwa kuwa na silaha za Kinyuklia kama anavyo hisia Iran kutaka kuwa nazo hizo silaha japo haijathibitika mpaka sasa kama anazo
Hata wakimuwahi hawezi pona.Hii mbali na umeongeza wewe ?
Unachukulia mambo kiwepesi wepesi tu Kwa nini waamie Urusi na Urusi unaichukuliaje wewe bwana mdogo ?
Hiyo mipango hadi wewe unaijua upo huku kwa bi tozo, vipi kuhusu Kremlin watakuwa wamelala?Hii ni mipango ya magharibi
Hizi ndio propaganda mnalishwa kanisani?Histolia ya kuwa na Nuclear:
1. Technology hiyo aliyekuwa nayo kwanza kabisa ni USA 1945
2. Urusi ikafuata 1949 kupitia wizi wa kijasusi waliofanya kwa US
3. UK ilifuata mwaka 1952 kupitia mradi unaoitwa Manhattan Project
4. France ikafuata 1960 kwa kupata msaada wa technology hiyo toka US & UK
5. China ilifuata 1964; msaada wa awali iliupata toka soviet union hata hivyo ushirikiano uliachiwa njiani na hivyo kufanya China wamalizie project wenyewe
6. Israel ilipata technology hiyo miaka ya 1970; kwa kiasi kikubwa kwakuwa scientists wengi wa west ni jews.
7. India wakihadaa kuwa wanataka technology hiyo for civilian purpose walisaidiwa na Canada na USA na baadae wakamalizia wenyewe.
8. Wasiwasi wa HATARI ya kusambaa kwa technology hiyo ulianza kuwa wazi mara baada ya Pakistan kupata technology hiyo; Pakistan ilisaidiwa na China (mgomvi wa asili wa India) na baadae North Korea. Pakistan iko na sharia za kiislam na serikali ambayo haitumainiki sana kiusalama. Hivyo kufanya secrets hizo kuwa hatari ya kufika hata mikononi mwa magaidi. Iran ktk hatua za awali ilipata siri hizo toka Pakistan na baadae China ikawapa mafunzo na vifaa vya utafiti
Mataifa makubwa yalikuja kujifunza kuwa technology hiyo inavyozidi kusambaa ndiyo inahatarisha usalama wa dunia. Na hasa ikiangukia kwenye Mataifa yenye Serikali zisizoaminika na kuwa na mahusiano na magaidi. Ndipo likapitishwa Azimio la
The Non-Proliferation Treaty (NPT).
Kutokana na Azimio hilo ndiyo maana hata mataifa yenye Nguvu kama
Germany, South Korea, Japan Canada imebidi yasiwe tena na Nuclear Bombs.
Sasa ukifikiri hilo hala waje waruhusu Taifa kama la Iran ambalo kutokana na imani yao ya kidini wanaamini wamepewa jukumu la kulifutilia mbali taifa la Israel. Na si hilo tu Iran kutokana na imani yao wanaamini waislamu wa kweli ni Shia. Na Shia ndiyo wenye kibali cha kusimamisha world calphate kwa maana hiyo Iran ni Tishio la kiusalama kwa Saudi Arabia na mataifa mengine ya mashariki ya kati ya Kisunni.
sababu hizo ndiyo zinafanya nyuma ya pazia hata mataifa hayo ya Saudi na Jordan kuisaidia Israel.
This time Ayatollah hatoboi
Wewe muabudu shetani usiache nikufyatulie uchafu wa kaallah kenu, ambaye ni shetan, Paedophile wenu Momo maana ninao uchafu wao wa kutosha tu.Hizi ndio propaganda mnalishwa kanisani?
Naona umepanic,punguza jazba wewe ndie muabudu shetaniWewe muabudu shetani usiache nikufyatulie uchafu wa kaallah kenu, ambaye ni shetan, Paedophile wenu Momo maana ninao uchafu wao wa kutosha tu.
Wewe jibu hoja hapo
Sababu ya kamdomo... india, pakistan mbona hazishambuliwi.Iran imeshambuliwa kwa sababu ya Nyuklia si ndivyo ?
Naona umepanic,punguza jazba wewe ndie muabudu shetani
Urusi hamna kitu, Ukraine inamtesa mpaka sasa hiviHii mbali na umeongeza wewe ?
Unachukulia mambo kiwepesi wepesi tu Kwa nini waamie Urusi na Urusi unaichukuliaje wewe bwana mdogo ?