Kwa nini Korea Kaskazini haishambuliwi kwa kuwa na tishio la silaha za Kinyuklia

Kwa nini Korea Kaskazini haishambuliwi kwa kuwa na tishio la silaha za Kinyuklia

Wadau kwa nini huyu Kim wa Korea Kaskazini na utawala wake hawa shambuliwi kwa kuwa na silaha za Kinyuklia kama anavyo hisia Iran kutaka kuwa nazo hizo silaha japo haijathibitika mpaka sasa kama anazo
Mbona huwa anapigwa vizuri tu. Ila hii mara nyingi inakuaga ni vita ya kijasusi

Miaka fulani hapo kati mbona alipigwa, treni yake iliyobeba midude ya nyukria pamoja na wataalam wake pamoja na iran ililipuka yote ikaisha.

Iran wakapelekewa miili yao.
 
Back
Top Bottom