Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,558 Reaction score 64,966 Jun 14, 2025 #41 Sinoni said: Hiyo mipango hadi wewe unaijua upo huku kwa bi tozo, vipi kuhusu Kremlin watakuwa wamelala? Click to expand... Kwani Iran ilikuwa imelala?
Sinoni said: Hiyo mipango hadi wewe unaijua upo huku kwa bi tozo, vipi kuhusu Kremlin watakuwa wamelala? Click to expand... Kwani Iran ilikuwa imelala?
Barakoa 001 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 5,436 Reaction score 14,927 Jun 14, 2025 #42 Mi mi said: Wadau kwa nini huyu Kim wa Korea Kaskazini na utawala wake hawa shambuliwi kwa kuwa na silaha za Kinyuklia kama anavyo hisia Iran kutaka kuwa nazo hizo silaha japo haijathibitika mpaka sasa kama anazo Click to expand... Mbona huwa anapigwa vizuri tu. Ila hii mara nyingi inakuaga ni vita ya kijasusi Miaka fulani hapo kati mbona alipigwa, treni yake iliyobeba midude ya nyukria pamoja na wataalam wake pamoja na iran ililipuka yote ikaisha. Iran wakapelekewa miili yao.
Mi mi said: Wadau kwa nini huyu Kim wa Korea Kaskazini na utawala wake hawa shambuliwi kwa kuwa na silaha za Kinyuklia kama anavyo hisia Iran kutaka kuwa nazo hizo silaha japo haijathibitika mpaka sasa kama anazo Click to expand... Mbona huwa anapigwa vizuri tu. Ila hii mara nyingi inakuaga ni vita ya kijasusi Miaka fulani hapo kati mbona alipigwa, treni yake iliyobeba midude ya nyukria pamoja na wataalam wake pamoja na iran ililipuka yote ikaisha. Iran wakapelekewa miili yao.