Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,370
- 2,715
Kweli mkuu mjini kunaharibu sana hawa watu."Mjini sio kuzuri"
Hahahaha mama manka njoo umuone mwanao hukuUtamchukua kutoka kwao kijijini, kumleta mjini hana ndugu wala hamfamu mtu, mbaya zaidi ajui lolote si ajabu....akachukua viatu akaweka ndani ya fridge, na mkeo akawa anamfundisha kupika mapishi, baada ya siku kadhaa kupita, kashakuwa mwerevu, zaidi ya nyie wenyeji wake mliomleta na mbaya zaidi hata kariakoo hapajui, sasa kaingia mjini kajua kupaka matope yao usoni, na marafiki wa nje, kaota masikio ashikiki wala haambiliki, wewe mwenye nyumba umuogope yeye, na uchoyo juu, kwenye chakula wewe mnunuzi, siku umekuja na nyama ya kuku firigisi na minofu anajiwekea yeye, nyinyi anawawekea shingo kichwa, na kipapatio kama si miguu, na mengineyo mengi si ajabu na uchawi au wanga juu, hizi zote changamoto azikosekaniki kwa hawa viumbe kwa nini lakini wanajisahau....na hawakumbuki walikotoka!
Nishamrudisha kwao mmoja mwanza, wiki mbili zilizopita na juzi, nimempata mwingine kutoka songea, huyu wa mwanza ananiomba, kutaka kurudi nimemwambi nafasi imejaa aamini kalia, kilio kwenye simu.hawa dawa yao kuwaacha washamba kama waluvokuja.
Wanajisahau sana mkuu.Tuwaongezee mkia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]Hahahaha mama manka njoo umuone mwanao huku
Hapo sasa mwenyewe unajitafutia majanga mkuu, akikosa kukuheshimu usilalamike.Ukianza kumtongoza beki 3 atakusumbua
Mjini shule[emoji3]"Mjini sio kuzuri"
Teh teh sasa kumwacha bila kumfundisha ni bora usingemchukua kukaa nae!hawa dawa yao kuwaacha washamba kama waluvokuja.
Muonee huruma bwanaNishamrudisha kwao mmoja mwanza, wiki mbili zilizopita na juzi, nimempata mwingine kutoka songea, huyu wa mwanza ananiomba, kutaka kurudi nimemwambi nafasi imejaa aamini kalia, kilio kwenye simu.
mfundishe majukumu yake tuTeh teh sasa kumwacha bila kumfundisha ni bora usingemchukua kukaa nae!
Wanatingisha kibiritiNishamrudisha kwao mmoja mwanza, wiki mbili zilizopita na juzi, nimempata mwingine kutoka songea, huyu wa mwanza ananiomba, kutaka kurudi nimemwambi nafasi imejaa aamini kalia, kilio kwenye simu.