stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Labda tuwekane wazi hayo mambo ya mjini[emoji3]mfundishe majukumu yake tu
hayo mambo ya mjini hapana.
Anataka kurudi huyo[emoji3]Wanatingisha kibiriti
Kikijaa wanaleta drama
Kuna mmoja nilimpenda sana....
Walahi nilikuwa nampiga mshahara mrefu......weekend off..... bonus kwa wazazi wake kila baada ya miezi 2 na siku za sikukuu
Alivyoaga ghafla kama uharo....nikamwambia usijali alfajiri nikampandisha bus.....
Siku hizi daily anapiga simu za kusalimia
Mi naomba wautoe!Naomba mods msiutoe huu uzi!
Simrudishi ng'ooooooAnataka kurudi huyo[emoji3]
Teh teh pole !Simrudishi ng'oooooo
Nilishaamua nitabadilisha wasichana hata elfu moja ila stress sitaki
Nikapata mwingine mwanga mpaka anafanya mambo ya ajabu mchana wa jua kali.......nilipomrudisha alilia akaomba asiondoke kwao watamuua maana watajua ametoa siri.... nikamwambia bibi bye bye....na sayansi yako ya kiafrika katafute pa kuifanyia....
Na kesho kuna mmoja namrudisha.....alfajiiiiri na mapema
Mjini chuo kikuu mkuu.Mjini shule[emoji3]
Baadae ndio anakuwa mjuaji kukushinda wewe mkuu.Teh teh sasa kumwacha bila kumfundisha ni bora usingemchukua kukaa nae!
Siwezi mkuu kafanya kituko cha kufungia mwaka, juzi wife kafanya usafi nyumba nzima, chumbani kwa watoto uvunguni kitandani, kakutana na maped yaliokaukiana damu kama kumi hivi, tena chumbani kwa watoto ana maana gani mpaka namhisi vibaya mkuu.Muonee huruma bwana
Kasharudi mkuu na nyumba imekuwa nyepesi kwa sasa.Ukiona kaota mapembe unamuongezea mkia...... Then una mrudisha machungoni sitimbi[emoji23][emoji23]
Sasa mie huyu wa kwangu tangu aondoke mtaani waendesha bodaboda, wananiambia umetutoroshea mke wetu.Wanatingisha kibiriti
Kikijaa wanaleta drama
Kuna mmoja nilimpenda sana....
Walahi nilikuwa nampiga mshahara mrefu......weekend off..... bonus kwa wazazi wake kila baada ya miezi 2 na siku za sikukuu
Alivyoaga ghafla kama uharo....nikamwambia usijali alfajiri nikampandisha bus.....
Siku hizi daily anapiga simu za kusalimia
Vibaya hivyo mkuu [emoji2] [emoji2]Mi naomba wautoe!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tatizo mnawaleta bila mikia acha waote mapembe
Mie mwenyewe huyo niliemrudisha mwanza, usiku anaongea peke yake, muda mwingine usiku anatembea ukumbini mida ya saa saba au saa nane za usiku....huku anaongea na kuongea vitu visivyojulikana, siku moja mlango wa ndani kwangu nilikuwa nimeurudishia akaja ndani usiku karibu na kichwani kwangu nastukia anaongea vitu vya ajabu ajabu, nikamtoa nduki, asubuhi namuiliza anasema ajui lolote mkuu.Simrudishi ng'oooooo
Nilishaamua nitabadilisha wasichana hata elfu moja ila stress sitaki
Nikapata mwingine mwanga mpaka anafanya mambo ya ajabu mchana wa jua kali.......nilipomrudisha alilia akaomba asiondoke kwao watamuua maana watajua ametoa siri.... nikamwambia bibi bye bye....na sayansi yako ya kiafrika katafute pa kuifanyia....
Na kesho kuna mmoja namrudisha.....alfajiiiiri na mapema
Wengine sio mkuu.Hawa beki tatu wazee wafamilia ndio wanawapa vichwa kwa sababu ya kuwatafuna
Hapo sio mkuu.Wakipata vibwana wana dharau kweli. Dawa kumla mwenyewe